Na pia unabii haulazimiswi!Unabii haujadiliwi,
Tusubiri.
Huyo.mohamed naye haeleweki mala aitwe mtume mohaned mara nabii mohamed shida tupu na mleya mada hivyo huku nabii kule mtume.vurugu tupuNabii wa kwanza ni Aadam alayhi ssalaam
Nabii wa mwisho ni Nabii Muhammad S.A.W
Baada yake, hakuna nabii mwingine tena, full stop
Unabii , utume vyote vipo kwenye BIBLIA.Huyo.mohamed naye haeleweki mala aitwe mtume mohaned mara nabii mohamed shida tupu na mleya mada hivyo huku nabii kule mtume.vurugu tupu
KANISA la kwanza walikuwepo mitume na manabii,Wahuni na wajanja wachache walioamua kujiita manabii na mitume,
Sijui mnachukuliaje haya maneno ila hao watu anaeza asiwepo hata mmoja nchi hii
Sidhani kama utaweza kuniaminisha kuwa nchi hii kuna nabii wa kweli,labda nitajie mmojaKANISA la kwanza walikuwepo mitume na manabii,
Na katika karama Tano, unabii umo, Unatakiwa kutofautisha manabii wa Kweli na wa uongo, Si kupinga manabii.
Ubarikiwe.
Manabii wako wengi ndugu,Sidhani kama utaweza kuniaminisha kuwa nchi hii kuna nabii wa kweli,labda nitajie mmoja