Kuna mambo ni yetu yako kwenye mamlaka yetu, unaweza kuyatolea ultimatum, lakini kuna mambo sio ya mamlaka yetu, ni ya mamlaka Kuu, ya YEYE, huwezi kuyatolea ultimatum, unless wewe ndie unampangia YEYE!.Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
Ndugu yetu Mayalla sijui kwanini unamtetea huyu mtu, kaua watu kabla hata ya maandamano kina mdude , Kibao, polepole (?) etc na sasa ni hundreds wamekufa under her watch, Viongozi wazuri wakishaona hivyo hata kama hawahusiki wanaachia tuu na kuondoka, hata mzee mwinyi aliwahi kuachia madaraka kwa sababu mambo hayakwenda vizuri, Nyerere pia aliondoka aliona wengine watarekebisha kuliko yeye, mama aondoke tuu …wewe ni mwanafunzi mzuri wa History so unaelewa maana ya the buck stops hereKuna mambo ni yetu yako kwenye mamlaka yetu, unaweza kuyatolea ultimatum, lakini kuna mambo sio ya mamlaka yetu, ni ya mamlaka Kuu, ya YEYE, huwezi kuyatolea ultimatum, unless wewe ndie unampangia YEYE!.
Let's sit and watch
P
Kuna mambo ya msingi na kuna mambo ya kufurahisha baraza, tumefika hapa tulipo kwa kuwa kuna nguvu mbili zenye kukinzana, moja ni ngumu kama nazi na nyingine ni kama jiwe sasa zikigongana basi nazi itapasuka. Kuna watu wametolewa kafara ili lengo la wengine litimie. Leo hii baadhi ya vijana tena ni nguvu kazi ya taifa wamekinukisha na kimenuka nani wa kumtupia jumba bovu?Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
Kuna mambo ni yetu yako kwenye mamlaka yetu, unaweza kuyatolea ultimatum, lakini kuna mambo sio ya mamlaka yetu, ni ya mamlaka Kuu, ya YEYE, huwezi kuyatolea ultimatum, unless wewe ndie unampangia YEYE!.
Let's sit and watch
P
Kuna mambo ni yetu yako kwenye mamlaka yetu, unaweza kuyatolea ultimatum, lakini kuna mambo sio ya mamlaka yetu, ni ya mamlaka Kuu, ya YEYE, huwezi kuyatolea ultimatum, unless wewe ndie unampangia YEYE!.
Let's sit and watch
P
Nami natabiri nawe hutamaliza wikiNimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
Ukiona mtu anakuja na issue za utabiri,ujue mtu huyo amefika mwisho wa uwezo wake wa kufikiri na amesha kata tamaa,ndio maana anabaki kutegemea miujiza tu,Dunia haiendeshwi kwa miujiza na kujipa unabii wa kuoteshwa.Nami natabiri nawe hutamaliza wiki
Kuna mambo ni yetu yako kwenye mamlaka yetu, unaweza kuyatolea ultimatum, lakini kuna mambo sio ya mamlaka yetu, ni ya mamlaka Kuu, ya YEYE, huwezi kuyatolea ultimatum, unless wewe ndie unampangia YEYE!.
Let's sit and watch
P
Achana na hilo zee jinga lileNdugu yetu Mayalla sijui kwanini unamtetea huyu mtu, kaua watu kabla hata ya maandamano kina mdude , Kibao, polepole (?) etc na sasa ni hundreds wamekufa under her watch, Viongozi wazuri wakishaona hivyo hata kama hawahusiki wanaachia tuu na kuondoka, hata mzee mwinyi aliwahi kuachia madaraka kwa sababu mambo hayakwenda vizuri, Nyerere pia aliondoka aliona wengine watarekebisha kuliko yeye, mama aondoke tuu …wewe ni mwanafunzi mzuri wa History so unaelewa maana ya the buck stops here
Nabii wengi siku hizi wanakwenda na upepo ulivyo.Siku hizi kila mtu ni Nabii,
Umebakiza tu kusema kua umeoteshwa.
Kwani Nikuulize kwa nature ya serikali ya CCM ilivyo,waandamanaji walitegemea stori tofauti na vifo?Au wale walioitisha maandamano wenyewe wakiwa ughaibuni walitegemea CCM ikubali kirahisi kuondoka na kutokuuua?Mi Nadhani madhara yalijulikana kabla Watu hawajaandamana na sasa tumepata tulichokitakaNdugu yetu Mayalla sijui kwanini unamtetea huyu mtu, kaua watu kabla hata ya maandamano kina mdude , Kibao, polepole (?) etc na sasa ni hundreds wamekufa under her watch, Viongozi wazuri wakishaona hivyo hata kama hawahusiki wanaachia tuu na kuondoka, hata mzee mwinyi aliwahi kuachia madaraka kwa sababu mambo hayakwenda vizuri, Nyerere pia aliondoka aliona wengine watarekebisha kuliko yeye, mama aondoke tuu …wewe ni mwanafunzi mzuri wa History so unaelewa maana ya the buck stops here