GE2025 Unabii wangu: Samia hatamaliza miezi 18 kama Rais wa Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi kila mtu kila siku anakuja na Utabiri!
Imekuwa akama nchi ya wapiga matunguli!
Kila mtu anatabiri la kwake!
Hakuna neno baya litamkwalo likakosa maana, whether ni wewe' au yeyote yule as long yuko kwenye chain hapaswi kuziba masikio asisikie
 
Nahisi kuna kitu kibaya kitatokea kwenye huu utawala pia ccm haitakuwa na muda mrefu madarakani najaribu kukonect dots kwa watu mbalimbali
 
Sema hata wewe UTAKUFA
 
Siku ikitokea, kuna watu watafanya sherehe kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…