Unachangia hoja kwenye nyuzi za watu ambao walifurahia mauaji haramu?

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Hasira dhidi ya wote walioshiriki na hata walioshabikia umwagaji damu siku za Uchaguzi alimaarufu Mo29 bado ingali ikigonga mioyo ya watu wengi nchini!

Kwa mazingira ya kibinadamu, kwa namna yoyote ile, huwezi kufurahishwa na jambo hilo ovu.

Kwenye vitabu vitakatifu, vyote vinapinga vikali na kutoa adhabu kali kwa wote wanaojaribu ama kufikiri juu ya kumwaga damu za watu, kwa maana, Damu ndiyo huo uhai.

Haiwezekani mtu amwage damu na kukatili uhai wa watu halafu watu waone ni jambo la kawaida. Na kwa minajiri hiyo, sina hamu wala shauku yoyote kushiriki nyuzi zozote za kina Mwashamba kwa kuchangia hoja yoyote.

Kwangu mimi, watu kama hawa, wanapaswa kutengwa na kupuuzwa na ionekane ni watu walioshiriki moja kwa moja kwenye dhambi hii mbaya.

Kama wananchi wamefikia hatua ya kufurahia vifo vya washukiwa wa mauwaji haya, kwa nini isiwe mpaka kwa wanaofurahishwa na uuwaji huo?​
 
nonsense
 
Sijawahi kuchangia huo uchafu
Kuna hawa wapuuzi
Tlatlaa(Muiraq wa Babati)
Lucas Mwashamba
SIjui Luna
Wapuuzi kabisa
Nonsense,

Kwenye jukwaa huru kama hili si lazima usome au uchangie hoja gentleman,
inawezekana uko empty head, lakini pia unaweza kujifunza tu au kuchota maariafa na kuongeza uelewa ama ufahamu wako juu ya mambo mbalimbali kijamii, kisiasa au kiuchumi jukwaani na ukajilali zako nyumbani kwa wazazi wako unapopakia ugali wa bure.

chuki binafsi na mihemko ni vitu useless na completely nonsense kabisa jukwaani, unajipa maradhi ya moyo kilofa kabisa aise.
 
Back
Top Bottom