njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
"WATEJA WETU WA ETHIOPIAN AIRLINES TUNAOMBA RADHI, NDEGE ILIYOTAKIWA KUONDOKA SAA KUMI ALFAJIRI ITAONDOKA SAA 4 USIKU NA KUFIKA KHARTOUM SAA 11 ALFAJIRI JUMAPILI TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU"Wewe mwenyewe una njaa tu
hawa jamaa bana, aghTeam inayoongoza kwa hujma nayo inaogopa hujma
na kuna watu hawaoni kwamba ni risk hiyowamejifunza kwa wakubwa zao ila walipokosea kwenye ndege na wao wangekodi
Huyo Rais wao kichwani hamnazoHalafu hili neno hujuma mbona wanalikomalia sana tena wanalitumia official kabisa kwenye page ya rais. Mfano tu wakiitwa caf kuthibitisha wataweza? Wanatafuta sababu wakikalia miko 10 huko sudani ukijumlisha na huo walionao nyuma unakuwa wa 11.
Timu inapata muda wa kupumzika na kufanya mazoezi uwanjani saa ngapi?Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
View attachment 2384684
We liutopolo hujambo?Makolo mnawashwa saaana na mambo yasiyowahusu..
Kwani tuliwahi kukata mkia wa mwana Lunyaasi🦁,au unachukua tu na wananchi🚶Team inayoongoza kwa hujma nayo inaogopa hujma
Hiyo ni defence wakipigwaHalafu hili neno hujuma mbona wanalikomalia sana tena wanalitumia official kabisa kwenye page ya rais. Mfano tu wakiitwa caf kuthibitisha wataweza? Wanatafuta sababu wakikalia miko 10 huko sudani ukijumlisha na huo walionao nyuma unakuwa wa 11.
Punguza kiherehere kwenye mambo ya watuAisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
View attachment 2384684