Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

Halafu hili neno hujuma mbona wanalikomalia sana tena wanalitumia official kabisa kwenye page ya rais. Mfano tu wakiitwa caf kuthibitisha wataweza? Wanatafuta sababu wakikalia miko 10 huko sudani ukijumlisha na huo walionao nyuma unakuwa wa 11.
Akili hamna mule.
 
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!

Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?

View attachment 2384684
Timu nzima mpaka Mashabiki wote hawana Akili.
 
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!

Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?

View attachment 2384684
Wanawaiga Simba, shauri yao watapasuka msamba. Kwani wameambiwa watahujumiwa ama kujistukia tu
 
Tuliambiwa Kuna wawekezaji 4 wanahitaka yanga.
GSM ,manji n.k
Ila naona kimya mpaka Sasa.
Timu inapumulia gesi.
tutajenga uwanja kigamboni.kumegeuka malisho ya wanyama[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!

Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?

View attachment 2384684
Yanga Afirika, Daima mbele "NYUMA KUNA MWIKO"
 
redio una lolote la kusema hapa? Nakumbuka kuna uzi uliletwa kuhusu Simba kuchelewa kwenda Angola na naquote baadhi ya maneno ya mojawapo ya comment yako, "endapo Simba wataenda kwa ndege ya kukodi kwa muda huo sina tatizo kabisa lakini kama watatumia ndege ya abiria nitawashangaa sana".Bahati nzuri Simba walienda kwa ndege ya kukodi.Vipi kwa Yanga,una lolote la kuwashauri baada ya msemaji kuthibitisha watakwenda kwa ndege ya abiria?
 
Ni rahisi kufika kartoum Sudani Kwa ndege ya Abiria kuliko kufika Luanda Kwa ndege ya Abiria, kutoka Addis kwenda Kartoum Kuna Ndege ya Moja Kwa Moja Tena ziko mbili Kwa Siku.
Kuna Ndege saa Moja Asubuhi na Kuna Ndege saa 4 Asubuhi.
Na umbali wa kutoka Addis mbaka Kartoum Kwa ndege ni saa 1na dk 50.

Naumbali kutoka Addis mpaka Kartoum Kwa gari ni km 1450.
 
Siku za hv karibuni GSM wamepunguza matumiz makubwa,nazan ile pesa waliyoitoa kwa Aziz ki bado inawachemsha vichwa
 
Ni rahisi kufika kartoum Sudani Kwa ndege ya Abiria kuliko kufika Luanda Kwa ndege ya Abiria, kutoka Addis kwenda Kartoum Kuna Ndege ya Moja Kwa Moja Tena ziko mbili Kwa Siku.
Kuna Ndege saa Moja Asubuhi na Kuna Ndege saa 4 Asubuhi.
Na umbali wa kutoka Addis mbaka Kartoum Kwa ndege ni saa 1na dk 50.

Naumbali kutoka Addis mpaka Kartoum Kwa gari ni km 1450.
Asante kwa ufafanuzi
 
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
Wamekata tamaa wanaenda kukamilisha taarifa tu
 
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!

Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?

View attachment 2384684
Hizo ndege sio pangaboi kama zetu wewe
 
Back
Top Bottom