Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Hii kauli ya yanga ya nyuma mwiko daima mbele inaonyesha jonsi
Jonsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli ya yanga ya nyuma mwiko daima mbele inaonyesha jonsi
We KUNDU wa msimbaziDaima mbele,nyuma tumechomekwa mwiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili hamna mule.Halafu hili neno hujuma mbona wanalikomalia sana tena wanalitumia official kabisa kwenye page ya rais. Mfano tu wakiitwa caf kuthibitisha wataweza? Wanatafuta sababu wakikalia miko 10 huko sudani ukijumlisha na huo walionao nyuma unakuwa wa 11.
Pilipili si yako inakuwashia nini?
Nenda mahakamani sasaMmeiga wakubwa lkn bado tatzo lipo mahali
Timu nzima mpaka Mashabiki wote hawana Akili.Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
View attachment 2384684
Wanawaiga Simba, shauri yao watapasuka msamba. Kwani wameambiwa watahujumiwa ama kujistukia tuAisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
View attachment 2384684
Yanga Afirika, Daima mbele "NYUMA KUNA MWIKO"Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
View attachment 2384684
Sawa ALLY KOMWEMakolo mnawashwa saaana na mambo yasiyowahusu..
Ni rahisi kufika kartoum Sudani Kwa ndege ya Abiria kuliko kufika Luanda Kwa ndege ya Abiria, kutoka Addis kwenda Kartoum Kuna Ndege ya Moja Kwa Moja Tena ziko mbili Kwa Siku.redio una lolote la kusema hapa? Nakumbuka kuna uzi uliletwa kuhusu Simba kuchelewa kwenda Angola na naquote baadhi ya maneno ya mojawapo ya comment yako, "endapo Simba wataenda kwa ndege ya kukodi kwa muda huo sina tatizo kabisa lakini kama watatumia ndege ya abiria nitawashangaa sana".Bahati nzuri Simba walienda kwa ndege ya kukodi.Vipi kwa Yanga,una lolote la kuwashauri baada ya msemaji kuthibitisha watakwenda kwa ndege ya abiria?
Nenda mahakamani sasa
Asante kwa ufafanuziNi rahisi kufika kartoum Sudani Kwa ndege ya Abiria kuliko kufika Luanda Kwa ndege ya Abiria, kutoka Addis kwenda Kartoum Kuna Ndege ya Moja Kwa Moja Tena ziko mbili Kwa Siku.
Kuna Ndege saa Moja Asubuhi na Kuna Ndege saa 4 Asubuhi.
Na umbali wa kutoka Addis mbaka Kartoum Kwa ndege ni saa 1na dk 50.
Naumbali kutoka Addis mpaka Kartoum Kwa gari ni km 1450.
Wamekata tamaa wanaenda kukamilisha taarifa tuIkitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?
Hizo ndege sio pangaboi kama zetu weweAisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!