Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!

Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani mtakodi ndege, au tajiri mmwaga mahela kakataa? Si huwa hana ubahili wa pesa zake kama Mudi?


View attachment 2384684
Unadhani Ethiopia airline ni Ngorika au Mbazi
 
Back
Top Bottom