nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Toa maoni yako
Wapo 100%Nadhan wengi ni kwa ajili ya kuwa na identity
Nitoe maoni yangu ili iweje sasa?Toa maoni yako
Wapi kipenzi chenu?Nitoe maoni yangu ili iweje sasa?
Faster kitandani kammoon muda wa kulala huu.
AMRI MAAMAE!
Yani wee acha tu. Hapo Chini ni vijana wawili Ali Al-Sajjad na mdogo wake Ali Al-Akbar ibn Hussain. Waliposikia kifo cha baba yao kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu walikimbia huku wakitimua vumbi kwa kulia. Yani tukio hili linatia Simanzi. 😭😭😭😭😭Wapi kipenzi chenu?