Unachokipitia sasa ni matokeo ya kile ambacho ulikianzisha zamani

Uthibitisho ni uwepo wa Mimi na wewe na kuendelea kuwepo wanadamu enzi hadi enzi.

Kwa concept ya kimwili uwepo wetu watu wengi hudhani upo kwasababu ya kuzaliana ila kimsingi hakuna kuzaliana pasipo mbegu kupandwa kuota na kumea.

Kwahiyo ili mtu azaliwe lazima afe.

Ili mpapai uendelee kuwepo lazima uzae na ili uzae lazima ufe kwanza then uote na umee.
Mbehu ya maisha ishaelezewa kibaiolojia mpaka kwenye level ya DNA, haihitaji dhana ya roho.

DNA inapimika, inaonesha mpaka nani no mza,i wa nani.

Hiyo roho haihitajiki kuelezea mbegu ya maisha, na wala hiyo roho haijathibitishwa kuwapo.
 
DNA ni kukuonesha tu ya kwamba mpapai hauwezi kuzaa tango labda hadi mechanism isiyo ya kawaida ifanyike.

Lakini pia licha ya kukuonesha tango haliwezi zaliwa kwa mpapai ila pia inakuonesha ya kwamba mpapai huu ni tofauti na mpapai ule, ila haiwezi kuzuia ya kwamba ili mpapai uote lazima upandwe.

Na scenario hiyo nadhani tumeiongea hapo juu ya kwamba mtu anachagua sehemu anayozaliwa kulingana na miingiliana ya mitetemo iliyopo ndani yake inayoenda kumuunganisha yeye na ulimwengu.

Na hiyo haiwezi kuzuia ya kwamba ili mtu azaliwe lazima afe.
 
Hujathibitisha roho ipo.
 
Nimesema roho ni mbegu so uwepo wa Mimi na wewe hapa duniani na kuendelea kuwepo tayari inathibitisha ya kwamba roho ipo.
Huo si uthibitisho, hiyo ni kauli ya imani, una imani hiyo.

Lakini, tumeshaona kuwa si kila imani inakuwa na msingi wa ukweli.

Thibitisha roho ipo, usiweke kauli ya imani tu kuwa roho ipo, halafu ukaiita hiyo kauli ya imani kuwa ni uthibitisho.
 
Ni sawa uone mpapai umeota halafu uulize kama kuna mbegu ya mpapai au laa
 
Logical non sequitur fallacy.

Mpapai kuwa na mbegu si hoja.

Mbegu ya mpapai inajulikana, inapimika, inathibitishika kuwepo, tunaelewa mbegu inafanyaje mpaka mpapai unaota.

Tatizo unasema mbegu ya mpapai ni mbegu fulani.

Halafu hiyo mbegu hujathibitisha ipo, hujaonesha uhusiano wake na mpapai, unasema kwa imani tu kuwa hii ndiyo mbegu.

Mpapai kuw ana mbegu sio lazima hiyo unayosema wewe ndiyo iwe mbegu.

Unaweza kusema mpapai unaota kwa mbegu ya uongo ya uchawi, na mbegu yako ya uchawi unayoisema ikawa haipo, na mbegu ya mpapai ikawepo

Bado hujathibitisha roho ipo.
 
Sio kila kitu unaweza kithibitisha physically ila haimaanishi kwakua huwezi kukithibitisha physically inamaanisha hakipo.

Nilikwambia hapo juu ya kwamba huwezi thibitisha upepo hadi utakapouskia unavuma, huwezi kuthibitisha baridi lipo hadi utakapolifeel kwenye mwili wako ila ikitokea mwenzio akawa anafeel baridi wewe haufeel na akakumbia lipo then unarudi kumwambia athibitishe kama lipo kisa haulifeel anawezaje kuthibitisha?

Kitu pekee kisicho na mbegu ni kile ambacho hakifi ila hochote kinachokufa na uwepo wake ukaendelea kuwepo over and over again jua kinayo mbegu.

So kabla ya mti au matunda jua kuna mbegu ilizikwa ikaota na kumea.

Ukihitaji prove ya kuonekana au kushikika kwa hili sina prove ya hivyo.
 
Hakuna nilipokwambia uthibitishe physically, ila umeshindwa kuthibitisha.

Atoms hazionekani kwa macho ila kuna uthibitisho kuwa zipo.

Kuna dhana za physics, kuna mahesabu, kuna mpaka experiments za kuthibitisha atoms zipo.

Upepo unapimika, kuna vyombo vya kupima upepo unaenda kwa kasi gani, unaelekea muelekeo gani. Tunaweza kuupima. Upepo hauna tatizo kuthibitishika, kwa hiyo uondoe upepo katika hoja zako. Upepo unathibitishika.

Baridi inapimika. Tunajua leo hali ya hewa itakuwa nyuzijoto ngapi. Tunaweza kuielezea baridi katika dhana za pbysics za thermodynamics na Brownian movements of atoms. Baridi inathibitishika, inapimika, iondoe baridi katika hoja zako.

Hiyo roho unaipimaje? Unaithibitishaje ipo?

Nimekwambia sijakataa kuwa maisha yana mbegu, ila nimeikataa hiyo roho.

Maisha yanaweza kuelezewa kwa DNA, kwa mbegu na yai kati ya mwanamke na mwanamme. Hivi vitu vishaelezewa kwenye biology.

Sihitaji roho kuelezea maisha.

Kwenye hiyo dhana ya roho hujaweza hata kuthibitisha roho ipo.

Thibitisha roho ipo.
 
Hivyo vyote unaona kama vimethinitishwa kwasababu kuna watu waliamua ionekane hivyo na wakatuaminisha hivyo so Imani imejengwa ndani yetu.

Vipimo vyote ulivyotaja hapo vinapima kufuata patterns zile zile zinazojirudia na ndio maana majibu yake hayajawahi kuwa accurate, ndio maana huwa tunaita utabiri wa hali ya hewa kwakua si kitu ambacho tupo sure nacho saaaana, ni kitu ambacho kinaweza kikawa hivyo au kisiwe hivyo.

Na ndio maana hata hiki ambacho nakisema Mimi hapa hao hao waliotupandikiza hizo Imani wangeamua kutuwekea na hivi kwenye vitabu na namba za uongo na kweli basi wote tungeamini.

Unawezaje kuthibitisha kwamba 2 ni mbili na 1 ni moja? Ila kwakua ni umeamua uamini hivyo so unaamini 2 ni mbili na 1 ni moja.

Tunaamini kwenye majira ya kwamba sasa ni saa mbili au saa nne iwe asubuhi au usiku kwakua watu wameamua tuamini hivyo, kwakua saa zote zinafuata patterns zile zile zikiwa kwenye hali ya mfanano ule ule so huna budi kuamini ila kuna baadhi ya maeneo unachokiona nje ni tofauti na kilichopo kwenye saa yako ila kwakua umeambiwa hivyo ndivyo ilivyo so unaichukua kama ilivyo ya kwamba unakuta saa inakuambia sasa hivi ni saa mbili usiku ila ukiangalia nje haionekani kama ni usiku kwa maana hata jua bado halijazama pengine ila unaamini ya kwamba hiyo ni saa mbili usiku kwakua saa inakuambia hivyo.

Mbegu na yai ni uchavushaji tu kama uchavushaji mwingine unaoweza kutokea hata kwenye muhindi, na hiyo sawa kabisa na ulivyoaminishwa Dunia inazunguka kwenye muhimili wake na at the same time inalizunguka jua, na katika namna zote hizo effect zake huwa ni tofauti, ya kwamba kwenye muhimili unapata usiku na mchana na kwenye jua unapata misimu au majira mbalimbali.

So wewe kuzalisha ni muendelezo ila wewe kufa ni mwanzo mpya kwa maana ya msimu au majira.

Trust me Kila kitu ni Imani na ili uamini lazima uamue au uone ni kwa namna gani inamake sense kwako, ila chochote ambacho hakina past inayokumbukwa huwa hakieleweki na kwakua hakieleweki ni ngumu kuaminika.

Ila uwepo wetu hapa duniani ni uthibitisho tosha ya kwamba mbegu ipo, DNA ni kututofautisha kisifa na kiasili kwa kuzingatia patterns za kimuundo.

Hapo ni sawa tu kujiuliza mbegu na mti nini kilianza.
 
Hujathibitisha roho ipo bado.
 
Our lives is some of our choice.
From reckoning
Ni sahihi kwasababu choice huendana na amani ya moyo, kwenye amani ya moyo ndiko kuliko na uhalisia wako wa ndani ambao ndio uliobeba hakika yako.

Ingawa si Kila maamuzi unayoyafanya huwa yanafanywa kwa kufuata amani ya moyo wako ila yapo mengine hufanywa kwa shinikizo la nguvu ya nje ambayo pia itakulazimisha uende kule ambako hakika yako ipo.
 
Hiyo choice yenyewe unayofikiri unayo, huna hivyo.

Huchagui kuzaliwa.

Huchagui utazaliwa nchi gani.

Huchagui utazaliwa na wazazi gani.

Huchagui utazaliwa wakati gani.

Huchagui utazaliwa na afya gani.

Na haya ni mambo yanayokuja kuathiri maisha yako yote.

Wewe leo unaweza kujiona umechagua kuja JF, kumbe kuja JF ni matokeo ya wewe kuzaliwa mwaka fulani, kuzaliwa Tanzania, kuwa unaongea Kiswahili, kuwa na pesa za kuwa na internet, na simu au computer, JF kuwepo.

Unajiona umeamua kuingia JF, kumbe kuna mlolongo wa mambo mengi ambayo yamekufanya uweze kuingia JF.

Ungezaliwa Uturuki mwaka 1800, usingeijua JF.

Kwa hivyo unaweza kujiona umechagua kuingia JF, kumbe mwaka uliozaliwa tu, bila kuuchagua, umekuchagulia kama utaingia JF ama la.
 
Mbegu huota pale ilipopandiwa, jukumu la Ione lini au iote isiote litabaki kuwa la universe, mkulima anaweza akapanda mbegu ila haimaanishi yeye ndio anaamua hizo mbegu zote bila universe kuamua hakuna chenye kinaweza kutokea.

Kwahiyo uko sahihi wewe huwezi kufanya choice za moja kwa moja coz Kila choice unazozifanya tayari zipo coded ndani yako kwahiyo wewe unachokifanya ni execution tu na ndio maana nimesema amani ya moyo.

Everything ni automated so hata siku yako ya kufa na utakufa namna gani ipo na ukifa utazikwa wapi inajulikana kwa maana wewe ukifa huwezi fanya maamuzi ila kwakua mazuri au mabaya yaliyo ndani mwa mtu hayawezi kuwa faida au hasara kwake tu bali hata kwa watu waliomzunguka basi shinikizo lolote ambalo universe italifanya kwa watu wako waliokuzunguka ili kuwapush wakupeleke pale hatima yako ilipo.

Kwahiyo Mimi kuingia jf nimefuata amani ya moyo wangu ila jf kuwepo ni kulingana na zama ambazo Mimi nipo.

Coz unaweza kupanda mahindi mwezi fulani ukaja kuyavuna kiangazi na ukaja kupanda mbegu hiyo hiyo mwezi fulani ukaja kuyavuna masika na ukapanda tena mbegu hiyo hiyo ukaja kuvuna kipupwe au vuli na kadhalika.
 
Kwa hiyo hoja yako kubwa kwamba tuna uchaguzi mkubwa sana, na mambo yanatokea kufuatana na uchaguzi wetu, ni uongo.

Mambo mengi sana tushachaguliwa kwa ajali ya kuzaliwa na ajali nyingine nyingi za maishani kama kuwapo at the right place, at the right time, with the right people.
 
Unaposema kila unachopitia sasa ni matokeo ya ulichoanzisha, unafanya Bias na Generalization, siyo kila kitu unachopitia sasa ni matokeo ya ulichokianzisha, mfano:

Ukizaliwa kwenye familia yenye utajiri, ukafundishwa biashara, ukawa tajiri, hayo ni matokeo ya ulichokianzisha au ulicho anzishiwa?

Mtu aliyezaliwa bila uwezo wa kuona au mtu aliyepata ajali, hiyo hali inaathiri maisha yake sababu aliianzisha mwenywe?

Mtu anayeishi kwenye vita akalazimika kukimbia na kuipoteza fursa nzuri ya biashara naye anapitia alichokianzisha?

Kuna watu wana saratani na hawakupanga kuwa nayo, wanachopitia kwasasa ni kitu walichokianzisha?
 
Yaani ana maanisha kila kitu kinachokutokea umekianzisha wewe mwenyewe 🤔

Atueleweshe namna mtu anavyoanzisha hayo mambo

Mf: mtu aliezaliwa ni kipofu au ana ulemavu fulani huyu alinzishaje ?

Yaani kama kila kitu ni matokea nani
angeanzisha vitu negative kwake
Una kuta mtu ana henyeka na maisha
,Magonjwa , Uchumi Nk... ndio kusema huyu nae ni matokeo ya alichoanzisha 🤔
Mtoa mada Thecoder
Hebu nyoosha maelezo
 
Ikiwa tu mtu huwezi kupanga uzaliwe au usizaliwe
na huna hata option ya kusema uzaliwe na nani masikini au tajiri
uzaliwe ulaya au africa uwe mweupe au mweusi
sasa unawezaje kuanzisha matokeo yako ya baadae?

Kicwa kinauma kwa mafua makali
Na wewe mtoa mada unataka kuhakikisha nachanganyikiwa🙌
 
Back
Top Bottom