Ukipewa nafasi ya kurudia maisha yako, ukarudishwa kwenye ule muda ambao uliamua kulipiza kisasi…
👉 Utafanya maamuzi yale yale?
Au leo, ukiwa umeona madhara yake, ungechagua kusamehe, kuondoka, au kunyamaza?
Hebu sema ukweli bila kuogopa kuhukumiwa:
Ukipewa nafasi ya pili, ungefanya vilevile au ungechagua tofauti?