Kuna muda visasi huwa vimejaa mihemko vinalipizwa kupotilizaKulipiza kisasi ni sahihi.
Kwamba uniumize nichukulie poa, ila kulipiza ndo iwe nongwa? Hapana aisee, kulipiza kisasi ni sahihi.
Kupitiliza Ndo kukoje huko?Kuna muda visasi huwa vimejaa mihemko vinalipizwa kupotiliza
Kuna visasi vinapitiliza mfano mmpishana kauli umeitwa fala unaenda kummwagia tindi kali usoniKupitiliza Ndo kukoje huko?
Kwamba ww ukiniumiza sio Kupitiliza Ila mm nikifanya ndo Kupitiliza.?
Sasa huyu anakuwa na uwendawazimu wake tofauti na sio kulipiza kisasi tuuKuna visasi vinapitiliza mfano mmpishana kauli umeitwa fala unaenda kummwagia mtu tindi kali usoni