Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
I think the most intimidating form of poverty and bad governance is lack of self governance.We can't just meditate our way out of poverty or bad governance.
Mh, sounds like a perfect excuse ya kukwepa kuwawajibisha viongozi. Ndio maana wanasiasa wanapenda sana mitazamo ya aina hii.I think the worst form of poverty and bad governance is lack of self governance.
We have to think critically Brethren,Mh, sounds like a perfect excuse ya kukwepa kuwawajibisha viongozi. Ndio maana wanasiasa wanapenda sana mitazamo ya aina hii.
Mifumo mibovu ndiyo inayozalisha hiyo hali, huoni kwamba unalaumu wahanga badala ya mfumo unaowaumiza?We have to think critically Brethren,
Most of our challenges can be traced back to their underpinnings which incline on "lack of self governance".
Nope!...... system ni zao la "interrelated sets and sub-sets", set moja moja zikiungana zinaunda mfumo. Shida ya mfumo inaweza kuwa ni shida ya seti moja moja. Mfumo unaweza kuwa na "cumulative error" inayotokana na errors za "individual sets".Mifumo mibovu ndiyo inayozalisha hiyo hali, huoni kwamba unalaumu wahanga badala ya mfumo unaowaumiza?
The whole is greater than the sum of its parts. Kwenye system dynamics, mfumo ukishaundwa, unajenga sheria zake zenyewe zinazofanya hata individual sets zikose nguvu.Nope!...... system ni zao la "interrelated sets and sub-sets", set moja moja zikiungana zinaunda mfumo. Shida ya mfumo inaweza kuwa ni shida ya seti moja moja. Mfumo unaweza kuwa "cumulative error" inayotokana na errors za "individual sets".
"Wahanga ni wote tatizo letu tunapenda mchezo wa lawama(blame game)"
Oooh, yes!..namaanisha tufanye "overhaul ya sets Boss" kila set ijirekebishe "synchronization".Nina hakika unaipata "synergy" kwenye mfumo ilivyo kutokana na maelezo mazuri sana uliyonipa hapa.The whole is greater than the sum of its parts. Kwenye system dynamics, mfumo ukishaundwa, unajenga sheria zake zenyewe zinazofanya hata individual sets zikose nguvu.
Kama mfumo mzima una virus, hata ukiweka set moja safi kiasi gani, itachafuliwa tu. Huoni kwamba mazingira ya mfumo ndiyo yanayolazimisha hizo sets kufanya error?
Yes hapa nimekupata, but who blinks first?Oooh, yes!..namaanisha tufanye "overhaul ya sets Boss" kila set ijirekebishe "synchronization".Nina hakika unaipata "synergy" kwenye mfumo ilivyo kutokana na maelezo mazuri sana uliyonipa hapa.
Naam, hapa ndipo changamoto ilipo kutokana na mchezo wa lawama na kukwepa kuwajibika tunaishi kwenye mduara wa lawama usiokoma. " vicious blame game cycle kama ilivyo vicious cycle of poverty. Tafakari usemi huu "tumemuumba Mungu wetu na sasa anatutaka tuwe sadaka"Yes hapa nimekupata, but who blinks first?
Naam,Unachvuna ndicho unachopenda, Mimi Naamini kwenye aspects zinazo align na huu msemo....Mfano Naamini ukifanya wema Kwa Nia njema utalipwa wema utakacholipwa siyo Hadi kiwe in material form Bali hata legacy nzuri pia ni malipo, Hali kadhalika na kufanya ubaya Kwa Nia mbaya ni hivyo hivyo lakini sasa Kwa condition Fulani Fulani, kivipi sasa!...
Ili ulipwe wema wa Nia njema, kiwango chako cha wema ulioufanya inabidi kizidi ule ubaya wa Nia mbaya unaohusiana na ule wema mfano umedhulumu mtoto yatima mmoja Chakula au pesa basi inabidi usaidie watoto yatima zaidi ya mmoja kiasi cha pesa au chakula kinachozidi kile ulichodhulumu, halafu ukajua kosa lako na ukaahidi kutorudia, Hapa Mimi ndio Naamini utalipwa ww au descendants wako Kwa namna moja au nyingine, vice versa is true..
Mambo ya Karma yamekuja ili watu wawe na good deeds, ukiangalia basi utaona kwenye vitabu Vyote vya Dini, Imani na hata vitabu vya Sayansi na jamii Karma imezungumziwa japo Kwa majina tofauti still maana ni ile ile...watu wanaposikia Karma wanahisi ni lidude Fulani hivi la ajabu ajabu kumbe ni kitu Tu ambacho ulikuwa unaona simple au hukitilii maanani na unakiishi Kila siku.
Mimi Naamini kwenye "KARMA", kimsingi kuamini Huku ni chaguo tu ambalo mtu anaweza kulifanya na hata usipoamini basi hutadhurika na chochote kile, dunia ni kapu lililobeba vitu vingi vizuri hivyo ni jukumu la Kila mmoja kuchagua anachoona kinafaa katika maisha Yake....