Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
 
A very yellow Chevrolet Corvette C8.

1000140703.jpg
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani .ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa...
Ni kumwomba MUNGU tu atengeneze njia zako tu ......
 
Natamani kurusha mwewe na ni kitu nakiwaza sana .Sasa kwa mujibu wa bandiko lako hili mbona bado kwangu
Unabidi kuwa unaweka Nguvu ya frequency na vibration viendane tofauti na hapo haiwezekani
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
Tujadili hapa kwenye nguvu ya utetemo hapa naona ndio wengi tunaeleeaga tofauti
 
Mtetemo ndo vibration au vibe .

Mfano ukisema nahitaji kwenda ulaya ile hali muitikio ndani ikiwa chanya ndo huitwa positive vibe (vibration) mtetemo so ukiwa na mtetemo chanya unapokuwa unamifest jambo ni rahisi kulipata Easily
 
Nimekuwa nikiwaza kwamba huwenda mawazo yangu ni kitu na kile ninachowaza pia ni kitu.

So ninapowaza maana yake ninaproduce kitu ambacho uhalisia wake upo ulimwenguni.

Let say nawaza kuhusu gari fulani,hiyo maana yake mawazo yangu ni kitu na haya mawazo yatatoka ndani ya mwili wangu na kuenda kutafuta kitu ambacho kinaendana nacho yaani nilichokiwaza yaani hilo gari.

So kadri unavyokiwaza kitu na ndio yale mawazo yanazidi kufanya juhudi ya kutafuta kitu hicho.

So baada ya mawazo yangu kufika huko,yataanza safari ya kulichukua lil gari na kulirudisha kwa muwazaji ambaye ni mimi na hatimae unakipata ulichokiwaza.

Nimekuwa nikifikiria hivyo nyakati zote nilipokuwa namsoma rhonda byrne,sijui kama nipo sahihi ama laa.
 
Upo sahihi

Nguvu ya mawazo imebeba kila kitu

Unapowaza kupata utapata na unapowaza kukosa utakosa .

Frequency - ni masafa ili usikilize clouds ukiwa DSM lazima u tune 88:5

Umeona hapo ufanyaji Kazi wake law of attraction.?

Hivyo mawazo ya kununua gari yanaanza then unatafuta frequency ambayo ndo pale unasema ntanunua crown then inafata vibration how do you feel ukiwa na hill gari lako then affirmation inafata you feel like you have it

Then unashukuru.
 
Kupambania kile anachoamini kina manufaa kwake ni tabia ya kila kiumbe hai

Hata Nyoka hujaribu kuling'ata jiwe lililomkandamiza akiamini kutampunguzia maumivu na kumuondolea mateso.
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
Ni kwel hata waswahili husema majuto Ni mjukuu..

Pia husema ALIWAZALO MJINGA NDILO LITAKALO MTOKEA..

so Mimi hupenda kujinenea mema kila muda

Of course Mimi damu yangu Ina mafanikio Sana kila nikigusa kitu au kukaa sehemu panastawi SANAA

Ni mtu mwenye bahati Sana Hadi Kuna muda I wonder all in all tuwe na positive mindset
 
Upo Kama Mimi hata nikaa na MTU amekwama MAISHA kachoka iwe mwanamke au mwanaume lazima aanze kuchipuka.

Ila sio maajabu huwa nawaambia watu wawe na positive mind set waaache kulaumu watu wajinenee mazuri na kuwanenea watu mazuri pamoja na kuwa na positive mindset.
 
Back
Top Bottom