Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

Unachowaza unachofikiria, sana na unachokiongea sana ndiyo utapata katika Maisha yako

Upo Kama Mimi hata nikaa na MTU amekwama MAISHA kachoka iwe mwanamke au mwanaume lazima aanze kuchipuka.

Ila sio maajabu huwa nawaambia watu wawe na positive mind set waaache kulaumu watu wajinenee mazuri na kuwanenea watu mazuri pamoja na kuwa na positive mindset.
Ni kwel mkuu naamini 💯💯
 
So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.

Hiyo vibration inatokeaje mana kuna movie moja niliangalia inaitwa Symbol.... Aiseeee ni hatareee walielezea sana ishu ya vibration ila mpaka sasa sijajua how ina fanya kazi
 
Vibration (mtetemo) kuna positive vibe na negative vibe

Mfano MTU akikuambia umependeza ile feeling unayoisikia ya furaha ndo huitwa positive vibe

So ukiwa unasema kuwa I need to be a teacher ile hali ambayo Unaisikia ndani yako ikiwa unasikia positive vibe bas you will become a teacher Ila ukisikia negative vibe basi unaweza usiwe Mwalimu .

So ndo hivyo ilivyo mtetemo au vibration katika law of attraction
 
Aaaaah hiyo hali nishaipata tayari mkuu hapo nimekuelewa sana...

Mi kuna jambo huwa napenda sana kufanya na kipaji ninacho kabisa..

Ila sasa akitokea mtu kuniambia tarehe flan uje kuna tukio fulan...
Napata mshtuko ambao najishangaa an uwoga sijui ni nini hadi nahisi joto kupanda ....

Ila hiko kitu watu wanasema najua sana naweza kutoboa kwa kufanya maana nipo talented sana kwa hiko kitu
 
Basi jitahidi ufanyie Kazi because world is need ur gift and gift can make you a room to shine.
 
Hiyo law of attraction hata mimi huwa naitumia, niliweka nadhiri ya kupata gari na baada ya mwaka nikapata kweli gari katika mazingira ya ajabu sana.
Watu wengi hawajui nguvu waliyonayo katika midomo yao na mawazo yao
 
Hii kitu nimeiamini kuanzia mwaka 2016, kuna kitu nilikuwa nasema kimoyomoyo hiki lazima nikipate hivi karibuni, baada ya miezi kadhaa kikaja kama kilivyo na ziada juu. Naamini katika law of attraction
 
Vibration (mtetemo) kuna positive vibe na negative vibe

Mfano MTU akikuambia umependeza ile feeling unayoisikia ya furaha ndo huitwa positive vibe

So ukiwa unasema kuwa I need to be a teacher ile hali ambayo Unaisikia ndani yako ikiwa unasikia positive vibe bas you will become a teacher Ila ukisikia negative vibe basi unaweza usiwe Mwalimu .

So ndo hivyo ilivyo mtetemo au vibration katika law of attraction
Kama mimi natamani sana kufanya kazi kwenye 1 ya UNITED NATIONS organizations. Tuseme Ameen
 
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.

Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano . kuhusu Kupata kitu Fulani. Ambacho nilikuwa nakihitaji Sana katika Maisha yangu ya Sasa.

Nilipotarget Kupata kile kitu ninaweka Affirmation au udhihirisho yaani I felt kile kitu Kama nimekipata na nikaandika katika diary yangu ya simu na. Kushukuru Sana.

Siku chache Kama wiki mbili kile kitu nimekipata Kama nilivyopanga.

So hapa nimegundua kuwa ili postive Affirmation ifanye Kazi unabidi kubalance Nguvu yako ya mtetemo vibration na frequency zako na ukijisikia muitikio basi soon as possible unapata unachokihitaji usifanye utani unajua ukifanya utani huwezi pata matokeo chanya lazima vibration na frequency ziendane.

Ulimwengu una Siri Sana there's a lot to learn in this world.
Of course, hata mimi kuna wakati nilikuwa nafanya mazoezi ya 'concentration' na almost nilichokihitaji nilikipata, lakini baadaye niliogopa kwa maana niliona kwamba kuna mambo nikiyafikiria yalikuwa yakitokea. Nilikuwa kama nina kipaji fulani kinaitwa 'telepathy' na mara nyingi nikimwambia mtu jambo lazima akubaliane nami. Ningekuwa napenda wanawake, kwa mfano, ni nadra sana kukataliwa. Lakini kilichoniogopesha kilikuwa matukio mabaya. Mfano, nikisafiri nilikuwa napata hisia kwamba ajali itatokea na kweli ilikuwa hivyo. Au nikienda kumwona mgonjwa nikiwa na hisia kwamba atafariki haichukui muda unasikia kafariki. Na huwa na hisia pia kwamba nikimwombea mtu anapona. Hiki ni nikipaji sijui kama ninacho, lakini kuna watu wanaamini ninacho. Mfano, nilikwenda kumwona mgonjwa fulani alikuwa na mguu umeoza na ndugu waliokuwa wakimuuguza walikuwa wanakaa nje kwa sababu ya harufu mbaya. Niliombwa kwenda kumwona, nilipofika mlangoni tu nikakutana na harufu mbaya. Uzuri ni kwamba moja ya kozi nilizozifanya ni counselling (kwamba hutakiwi kumwonyesha mgonjwa kwamba ananuka au kutoa harufu mbaya). Hivyo, nilivumilia, lakini ilihitaji moyo sana. Na aliponiona alifurahi akaanza kunisimlia jinsi mguu wake ulivyoanza wakati huo mimi nilikuwa nina struggle na harufu mbaya, hadi ikafika wakati sikusikia tena harufu. Nilipomaliza kumwona nilimwomba Mungu kwamba akitaka amponye. Kisha nikaondoka. Siku moja nikiwa naendesha gari nikaona mtu ananipungia mkono nisimame. Nikasimama, nikamuuliza kama ana shida. Akaniambia "Mimi ni yule uliyekuja kuniona, nimepona." Akakunja suruari kunionyesha sehemu yenye kidonda akasema "uliniponya wewe." Sikuamini. Hiki kipaji huwa nahisi ninacho, ila najipa muda ili kijionyeshe zaidi na kama ikitokea nikaamini kwamba ninacho, nitakitumia kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
 
Ni sahihi, law of attraction inafanya kazi.

Nilianza na kutamani kuwa top chuo liliwezekana, niliwaza kufanya kazi na watu fulani liliwezekana pia, baadae nikawaza kwenda nje nikafanikiwa.

Ni kweli ukiweka nguvu na mawazo yako pamoja na unachokisema kwenye jambo fulani linakuwa.

Hivi sasa nahisi kupoteza uwezo wa kuendana na kutumia hii law, nafanyaje kurudi kwa hiyo law?
 
Back
Top Bottom