I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Si nasikia wanapataga watoa huduma?Nchi za wenzetu ata hawachangishani michango.
Sasa mzee vyakula vibaki si vitaharibika tu hivyo?
Poa tu mbona mkuu,,, na jana tu kulikuwa na mwanangu ana shughuli yake nimebeba msosi mpaka vinywaji,, au we unatuchukuliaje mana umetufungulia na uzi kabisaKama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika.
Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii?
Je, ulishawahi kubeba chakula au kinywaji toka kwenye sherehe nini sababu?
Tushee maoni yetu wadau.
1. ulafi na kutokuwa na chembe ya aibu hasa kwa wale ambao nyumbani vyakula wanavyo.Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika.
Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii?
Je, ulishawahi kubeba chakula au kinywaji toka kwenye sherehe nini sababu?
Tushee maoni yetu wadau.
si ukute alikuwa anapelekea watoto walikuwa hawana chakula au nyumbani kwake alikuwa hana uwezo kupika kande tamu kiasi kile alitaka watoto pia wakafurahi. duniani kuna mengi yamejificha.Umenikumbusha yule bibie alivyomwaga kande kwenye daladala aibu ilioje na vijora vyao
Hili ndio jibu sailing. Kuendekeza njaa, ulafi, tamaa na ushambaUlafi tu na kuendekeza tamaa na njaa za kishamba.
Nuzulati za usikuUmenikumbusha yule bibie alivyomwaga kande kwenye daladala aibu ilioje na vijora vyao
Nzuri mkuuNuzulati za usiku