Unadai huli Kitimoto lakini Sausage unakula

Unadai huli Kitimoto lakini Sausage unakula

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Watengenezaji wahuni wengi wao wanaandika ni nyama ya ng'ombe but kiukweli ni zaidi nguruwe. Infact, wenzetu wanaojizuia kula kitimoto wanakosa vingi
 
Watengenezaji wahuni wengi wao wanaandika ni nyama ya ng'ombe but kiukweli ni zaidi nguruwe. Infact, wenzetu wanaojizuia kula kitimoto wanakosa vingi

We sema tu unapigia debe kitimoto lakini usidanganye watu kwamba sausage zote zinatengenezwa na kitimoto... Hebu nenda hata pale Happy Sausage Arusha kajifunze kabla ya kusema usivyovijua
 
watengenezaji wahuni wengi wao wanaandika ni nyama ya ng'ombe but kiukweli ni zaidi nguruwe. Infact, wenzetu wanaojizuia kula kitimoto wanakosa vingi
hata ------- wanadai kuwa wasio ------- wanakosa vingi.
 
K.torati 14:8 "Na nguruwe kwa kuwa amepasuliwa kwato lakini hacheui,huyu ni najsi kwenu,msile nyama zao wala mizoga yao msiguse"

Marko 13 "akawapa ruhusa(Yesu), wale pepo WACHAFU wakatoka,wakaingia katika wale nguruwe...."

Najisi+mapepo≠halali

Kwani Hawa bandugu wanasoma hii biblia?wao wanabeba tu.
Kama ni halali ngoja walete andiko
 
K.torati 14:8 "Na nguruwe kwa kuwa amepasuliwa kwato lakini hacheui,huyu ni najsi kwenu,msile nyama zao wala mizoga yao msiguse"

Marko 13 "akawapa ruhusa(Yesu), wale pepo WACHAFU wakatoka,wakaingia katika wale nguruwe...."

Najisi+mapepo≠halali

Nahisi wametumiq kigezo hiki...

Negative + negative = positive
Haram haram halali
 
kwan kila sousage ni ya kitimoto au sousage ni kitimoto tu.
mjiangalie mtakuja kupigwa.
 
Back
Top Bottom