Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani zote ni za kitimoto?
Watengenezaji wahuni wengi wao wanaandika ni nyama ya ng'ombe but kiukweli ni zaidi nguruwe. Infact, wenzetu wanaojizuia kula kitimoto wanakosa vingi
Si kwamba hawali kabisa kitimoto ILA hawali hadharani
hata ------- wanadai kuwa wasio ------- wanakosa vingi.watengenezaji wahuni wengi wao wanaandika ni nyama ya ng'ombe but kiukweli ni zaidi nguruwe. Infact, wenzetu wanaojizuia kula kitimoto wanakosa vingi
hata wasengi wanadai wasio wasengi wanakosa vingihata ------- wanadai kuwa wasio ------- wanakosa vingi.
Kitimoto ni tamu jamani utani tuweke pembeni!!!
K.torati 14:8 "Na nguruwe kwa kuwa amepasuliwa kwato lakini hacheui,huyu ni najsi kwenu,msile nyama zao wala mizoga yao msiguse"
Marko 13 "akawapa ruhusa(Yesu), wale pepo WACHAFU wakatoka,wakaingia katika wale nguruwe...."
Najisi+mapepo≠halali
K.torati 14:8 "Na nguruwe kwa kuwa amepasuliwa kwato lakini hacheui,huyu ni najsi kwenu,msile nyama zao wala mizoga yao msiguse"
Marko 13 "akawapa ruhusa(Yesu), wale pepo WACHAFU wakatoka,wakaingia katika wale nguruwe...."
Najisi+mapepo≠halali
Si kwamba hawali kabisa kitimoto ILA hawali hadharani
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Bora uamue mojaaaa