Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa MkuuSahihi kabisa,,ndio maana hata best yako anatakiwa kuja kwako wewe ukiwepo tu,kama haupo hatakiwi kukanyaga home kwako
Unatakiwa uhakikishe unasitishwa,,,asipo mla yeye ujue atamkuwadia,,unakwama wapi
Akishakuwa mke wa mtu sio salama kwako na kwake kuwa na ukaribu naye.dah!!..wakuu naona mmeamua kututukana umu wenye ma best wakike..ushkaji upo bana wat tumekua kama ndugu kabisa.wanawake watu wazuri sana ukiacha nyege nyuma,sio kila demu lazma umtafune wakuu.
Umenisaidia kuandika nilichotaka kuandika.Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke. Amka.
Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ispokuwa baba na kaka(tena wa damu moja) .Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
- Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
- Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
- Stori za kimbea hata kusengenya ni kawaida, Mtoto wa msanii flani hawajafanana, Kumchamba flani, n.k. hadi unajiuliza is this a man ?
- Siku haipiti hawajaongea
Kwa uzoefu wangu, hapo kugongewa nje nje tu, Hakuna ursfiki Kati ya jinsia yq kike na kiume, sie madume tukiangalia hawa wadsda, tunachowaza ni kumbanjua tu, asipotongozwa na kuchapwa nao, ni Mambo ni mawili, ama mkeo Hana mvuto, anasura ngumu kama ya dingi yake, Hana msambwanda, au, huyo jamaa ni joka LA kibisa,Ni zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.
Na mara nyingi hali zao za kiuchumi zinakuwaga za kawaida maana hawana kazi maalum,
- Mke akiumwa ratiba zote za kusalimia wagonjwa asubuhi, mchana na usiku utawakuta
- Wapo tayari kwenda sokoni kumsaidia mke asisumbuke
- Stori za kimbea hata kusengenya ni kawaida, Mtoto wa msanii flani hawajafanana, Kumchamba flani, n.k. hadi unajiuliza is this a man ?
- Siku haipiti hawajaongea
Wengi wanakuwaga machoko, style kama ya Juma Lokole au Aggrey yule huwezi kuwa na shaka nae kuwa atampiga pumbu ila shida ni wanakuwaga makuwadiChief usiseme hivyo,,,siku mmegombanq ujue mwamba ndio anakuwa bega lake la kuegemea
Umemaliza, huyo so called rafiku ni spare boy friend, anasubiri zamu yake pindi utakapo mzingua mkeHakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke. Amka.
Hakuna rafiki hapoNi zile type unaziona zipo na mke wako kama marafiki tangu unavyomjua na hata ukichunguza utaambiwa ni mabesti wa long time kitambo sana.