unadeal vipi na rafiki wa kiume wa mke wako, wale wanaopenda kuwa karibu na mke utadhani chawa mpaka kupiga umbeya

Nimewahi kuongea siku moja humu JF kuwa wanaume ngangari wataisha siku za mbeleni watabaki wanaume wavulana..
 
dah!!..wakuu naona mmeamua kututukana umu wenye ma best wakike..ushkaji upo bana wat tumekua kama ndugu kabisa.wanawake watu wazuri sana ukiacha nyege nyuma,sio kila demu lazma umtafune wakuu.
 
Usiruhusu upuuzi wa aina hiyo kwenye ndoa yako kijana hapo lazima litokee jambo baya tu,hakuna urafiki au best wa mwanaume na mwanamke......hata wewe jipime ukiwa na ukaribu sana na mwanamke lazima ushetwani uingie hata kama hauna nia roho ya mabaya itaanza kukuhamasisha ufanye jambo.
 
dah!!..wakuu naona mmeamua kututukana umu wenye ma best wakike..ushkaji upo bana wat tumekua kama ndugu kabisa.wanawake watu wazuri sana ukiacha nyege nyuma,sio kila demu lazma umtafune wakuu.
Akishakuwa mke wa mtu sio salama kwako na kwake kuwa na ukaribu naye.
 
Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ispokuwa baba na kaka(tena wa damu moja) .

Ukiona huo urafiki ujue mtu kawekwa pending inasubiriwa muda maalum.
 
Kwa uzoefu wangu, hapo kugongewa nje nje tu, Hakuna ursfiki Kati ya jinsia yq kike na kiume, sie madume tukiangalia hawa wadsda, tunachowaza ni kumbanjua tu, asipotongozwa na kuchapwa nao, ni Mambo ni mawili, ama mkeo Hana mvuto, anasura ngumu kama ya dingi yake, Hana msambwanda, au, huyo jamaa ni joka LA kibisa,
Chukuria Uwe rafiki na mke wa Majizo Lulu, au mke wa Gabo zigamba m bongo muvi!
Hawa, mke wa Gapo, ni toto moja jeupeee, tako hinya hinya kama limechongwa,
 
Chief usiseme hivyo,,,siku mmegombanq ujue mwamba ndio anakuwa bega lake la kuegemea
Wengi wanakuwaga machoko, style kama ya Juma Lokole au Aggrey yule huwezi kuwa na shaka nae kuwa atampiga pumbu ila shida ni wanakuwaga makuwadi
 
Hakuna rafiki hapo

Timua wao au wote
 
Yani unatombe.wa mkeo afu unakuja kuomba ushauri huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…