Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia, Wamama tunateseka "
•
" Nilikata hii Bra (sidiria) ya Mke wangu kwasababbu sikuwa na uwezo wa kununua mask, Mke wangu alilia sana, natumia hii mask ili nisije kamatwa "
Chanzo Habari: NTV Kenya.
•
" Nilikata hii Bra (sidiria) ya Mke wangu kwasababbu sikuwa na uwezo wa kununua mask, Mke wangu alilia sana, natumia hii mask ili nisije kamatwa "
Chanzo Habari: NTV Kenya.