Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

unaletewa barua mbili mezani, moja ya kujiuzulu ambayo imeshaandikwa inasubiri signature yako tu, nyingine ya tangazo la msiba inasubiri signature ya katibu wa bunge, hapo uamuzi ni wako.
Hawa ndugu zetu wanaoendeshwa/endesha ma V8 wengi ni wa kuonewa huruma wala sio kutamani maisha yao.
 
1. Mimi nadhani, my intuition kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
very simple,
angekua impeached ili apate fursa na muda mzuri sana ya kusambaza dhana aliyoibua kipindi hicho kwa nafasi zaidi wakati serikali sikivu ya CCM ikiendelea na agenda yake ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi 🐒
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Kwani alikubali kukaa bench?
Siyo kwamba waliandika barua kwa niaba yake na wakatangaza kuwa wamepokea barua yake?
 
Hakuna mwanaccm anaweza kupambana nje ya mbeleko ya vyombo vya dola. Na sababu hasa wengi ambao ni viongozi wana mali zilizopatikana kwa njia haramu, hivyo wanajua watadhalilika wakibanwa.
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Rostam azizi angemmaliza
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Daktari wake wa sukari angepokea maagizo toka juu kupuliza kipenga cha msisho
 
Back
Top Bottom