Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Mkuu wapo wengi tu waliwai kuskia kwenye vyombo vya habar kua mamlaka zimekubali ombi lako la kujiudhuru nafas ya kazi ,Tena akiwa anaenda kazini mtu anabaki anashangaa imekuaje mbona sjaandika barua?angelitoka akasema sijajiuzulu, hiyo barua si ya kwangu. Silence means consent