Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

Maana yake mi nadhani angeonekana anataka ku temper na mamlaka ya urais. Na ikumbukwe serikali iliyopo ni breeding ya communism per se. Hivyo basi lingemkuta jambo. Hata kama sio la kumu eliminate totally, basi angefanyiwa damage ambayo ... Anyway tusimalize maneno.
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Si ulisikia alisema Mzee malechela alimshauri ajiuzulu!hivi unajua member wa deep state anapokuambia ujiuzulu halafu ukakaidi maana take nini!!?

Unakumbuka sokoine alishauriwa apande ndege kurudi Dar akagoma Nini kilimtokea!!?

Asingejiuzulu tungekula wali kwenye maturibai coz alitishia kiti!!
 
Never messed up with the throne of power. Ndio maana hata kwenye biblia kuna mahali pameandikwa tiini mamlaka. Hata shetani alijaribu ku temper na kiti cha mungu , kilichomkuta utakisoma kwenye isaya.14:13 na ezekiel,28.1-na kuendelea.
 
Si ulisikia alisema Mzee malechela alimshauri ajiuzulu!hivi unajua member wa deep state anapokuambia ujiuzulu halafu ukakaidi maana take nini!!?

Unakumbuka sokoine alishauriwa apande ndege kurudi Dar akagoma Nini kilimtokea!!?

Asingejiuzulu tungekula wali kwenye maturibai coz alitishia kiti!!
Naam!
 
hebu fafanua hp mdau
wangelimuweka katika kizuizi...detention

Incarcerating the Innocent: Preventive Detention in Tanzania​

Chris Maina Peter

1729876027996.png
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Ilikuwa ni rahisi mno mno kumdhibiti. UFISADI. Wangemfuatilia kwenye angle ya ufisadi wangempata mapema sana. Siyo kumfuatilia tu ila pengine walikuwa na data zake kabisa.... Nasema hivi kwa sababu kuna kipindi alikuwa antuhumiwa kwa utumiaji mbaya ya fedha na ufisadi. Na hili ni kwa CCM wengi.
 
Jambo kuu la kuelewa ambalo wengi awaelewi si kila ukweli unatakiwa kusemwa , mengine save for the best,
Alafu piga kimya kula mpunga wako hadi mda wako uishe si vyema kushindana na mamlaka hadharani wakati last time I check u still in payroll
 
Alafu watoto wa mjini wanakwambia show me who doesn't drop body on the way to throne , nigga u must dance the ladies tone unless u scotch the earth
 
Ilikuwa ni rahisi mno mno kumdhibiti. UFISADI. Wangemfuatilia kwenye angle ya ufisadi wangempata mapema sana. Siyo kumfuatilia tu ila pengine walikuwa na data zake kabisa.... Nasema hivi kwa sababu kuna kipindi alikuwa antuhumiwa kwa utumiaji mbaya ya fedha na ufisadi. Na hili ni kwa CCM wengi.
Good reasoning! Lakini wote CCM wako hivyo....but waalindana , huyu akionsha si mmoja wao wanampatiliza
 
Jambo kuu la kuelewa ambalo wengi awaelewi si kila ukweli unatakiwa kusemwa , mengine save for the best,
Alafu piga kimya kula mpunga wako hadi mda wako uishe si vyema kushindana na mamlaka hadharani wakati last time I check u still in payroll
kuna mahali niliwahi kusoma kitabu fulani .Sikumbuki ni gani kina sentensi inayosema 'other stories must left untold forever'.
 
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA

Wewe unasemaje?
Wngepigwa risasi mchana kweupe tena uwanja wa mkapa kila mtu ajione jinsi alivyokuwa katili zaidi ya hitler
 
Alisema Magufuli mhimili wa serikali umejichimbia chini sana.
 
Back
Top Bottom