Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

angelitoka akasema sijajiuzulu, hiyo barua si ya kwangu. Silence means consent
Mkuu wapo wengi tu waliwai kuskia kwenye vyombo vya habar kua mamlaka zimekubali ombi lako la kujiudhuru nafas ya kazi ,Tena akiwa anaenda kazini mtu anabaki anashangaa imekuaje mbona sjaandika barua?
 
One of the most likely option.... (SIJUI KAMA SHERIA YA KIZUIZINI BADI IPO)....PREVENTIVE DETENTION
Zile sheria 40 kandamizi bado hazijafutwa,lakini hata hivyo toka lini watawala wa nchii hii wakatii sheria ikiwa Katiba yenyewe hawaiheshimu.
 
Mkuu wapo wengi tu waliwai kuskia kwenye vyombo vya habar kua mamlaka zimekubali ombi lako la kujiudhuru nafas ya kazi ,Tena akiwa anaenda kazini mtu anabaki anashangaa imekuaje mbona sjaandika barua?
ukoahihi, hizi nchi a kishenzi za kwetu shida tupu
 
Ndiyo maana huarisha kufikiri a.k.a kujizima data, itatuchukua muda sana kupiga hatua, bora ukoloni wa muingereza na mjerumani kuliko huu wa watanzania wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…