Unadhani kwanini CHADEMA wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi.

Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania?

Je, kama taifa, huu ni wakati muafaka kuutangazia umma kwamba chadema ndio adui namba moja wa amani, umoja na usalama wa taifa letu?

Au tuwasubiri ili tuwanyooshe na kuwakataa vizuri kwenye sanduku la kura?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nyie mmekataliwa na walimwengu heti sasa hivi mnawaita chadema vibaraka kisa USA propaganda cheap sana hizi zama za sasa hazifanyi kazi
mbona kama umepanic gentleman?

wewe ni chadema, right?
I'm sorry my friend, ukweli una tabia ya kukera sana aise 🐒
 
Propaganda za zamani hazina maana karne 21 hii tujaribu kuja na propaganda za maana
gentleman,
sifahamu chochote kuhusu hiyo dhana potofu,

daima humu jukwaani,
huwa naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

tafadhali usipotoshe wadau wa Jf ikiwa umekerwa na ukweli huo na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi.

Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania?

Je, kama taifa, huu ni wakati muafaka kuutangazia umma kwamba chadema ndio adui namba moja wa amani, umoja na usalama wa taifa letu?

Au tuwasubiri ili tuwanyooshe na kuwakataa vizuri kwenye sanduku la kura?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20251222-120716~2.png
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi.

Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania?

Je, kama taifa, huu ni wakati muafaka kuutangazia umma kwamba chadema ndio adui namba moja wa amani, umoja na usalama wa taifa letu?

Au tuwasubiri ili tuwanyooshe na kuwakataa vizuri kwenye sanduku la kura?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Fala sana wewe
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi.

Unadhani ni kwanini wanatumia nguvu kubwa sana, na wanatamani kweli kuurejesha ukoloni Tanzania?

Je, kama taifa, huu ni wakati muafaka kuutangazia umma kwamba chadema ndio adui namba moja wa amani, umoja na usalama wa taifa letu?

Au tuwasubiri ili tuwanyooshe na kuwakataa vizuri kwenye sanduku la kura?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Na kwanini CCM wameamua kujianika kama wao ni watekaji na wauwaji?
Wasumamizi wa mikataba mibovu,mafisadi (Kagoda)......
 
Hivi kwanini watu wengine hawakui kiakili,kiroho na hata kimwili?Hivi huwa ni laana au?
 
andikia hiyo porojo yako uzi mahususi mezani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Hivi kwanini watu wengine hawakui kiakili,kiroho na hata kimwili?Hivi huwa ni laana au?
huenda ni ubishi na kiburi ya kuzaliwa.

na huenda lile neno la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ndio linatimia sasa 🐒
 
Back
Top Bottom