Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Je vipi kuhusu wewe binafsi upo kundi lipi?huenda ni ubishi na kiburi ya kuzaliwa.
na huenda lile neno la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ndio linatimia sasa š
Je vipi kuhusu wewe binafsi upo kundi lipi?huenda ni ubishi na kiburi ya kuzaliwa.
na huenda lile neno la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ndio linatimia sasa š
Sio kweli piga goti upya Mwombe Mungu akujalie usimame kwenye Haki,Ukwei,Utu na Uzalendo wa kweli.kundi lile linalofanya kazi ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, kwa Neema na Baraka za Mungu š
na kazi hiyo nitaifanya kwa bidii sana na bila kuchoka na bila kujali ramli au ushirikina kwa mdau yeyote wa ndani au nje ya JF.Sio kweli piga goti upya Mwombe Mungu akujalie usimame kwenye Haki,Ukwei,Utu na Uzalendo wa kweli.
Kidato cha nne kwanza ulipata division ngapi?andikia hiyo porojo yako uzi mahususi mezani na itapendeza zaidi gentleman š
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone agena kazi hiyo nitaifanya kwa bidii sana na bila kuchoka na bila kujali ramli au ushirikina kwa mdau yeyote wa ndani au nje ya JF.
hata hivyo,
hiyo sio muhimu sana,
kwa maoni yako unadhani ni kwanini chadema wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?š
Vibaraka ni wanaotetea kila uchafu hata kama unaliangamiza taifa kama ilivyo wewe.na kazi hiyo nitaifanya kwa bidii sana na bila kuchoka na bila kujali ramli au ushirikina kwa mdau yeyote wa ndani au nje ya JF.
hata hivyo,
hiyo sio muhimu sana,
kwa maoni yako unadhani ni kwanini chadema wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?š
Ila sema watekaji na wauaji wa hao na wabambikia kesi mchongo wao wanajitambua!CHADEMA hawajitambui kabisa
Mbona wewe hujatekwaIla sema watekaji na wauaji wa hao na wabambikia kesi mchongo wao wanajitambua!
Mmiliki wa mbwa mwitu huenda ndiyo kazi ataifanyaMbona wewe hujatekwa