Unadhani kwanini CHADEMA wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka?

huenda ni ubishi na kiburi ya kuzaliwa.

na huenda lile neno la "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ndio linatimia sasa πŸ’
Je vipi kuhusu wewe binafsi upo kundi lipi?
 
kundi lile linalofanya kazi ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, kwa Neema na Baraka za Mungu πŸ’
Sio kweli piga goti upya Mwombe Mungu akujalie usimame kwenye Haki,Ukwei,Utu na Uzalendo wa kweli.
 
Sio kweli piga goti upya Mwombe Mungu akujalie usimame kwenye Haki,Ukwei,Utu na Uzalendo wa kweli.
na kazi hiyo nitaifanya kwa bidii sana na bila kuchoka na bila kujali ramli au ushirikina kwa mdau yeyote wa ndani au nje ya JF.

hata hivyo,
hiyo sio muhimu sana,
kwa maoni yako unadhani ni kwanini chadema wameamua kujiexpose kua wao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?πŸ’
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Vibaraka ni wanaotetea kila uchafu hata kama unaliangamiza taifa kama ilivyo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…