Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu .
Unadhani ni kwanini hali hii katika nchi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi wananchi wake wameonekana kama Mabwege , kiasi cha kudharauliwa na viongozi ?