Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Huko kwenu Hai mtaunga mkono kwa kuandamana au mtaandamana kwenye keyboard?Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu .
Unadhani ni kwanini hali hii katika nchi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi wananchi wake wameonekana kama Mabwege , kiasi cha kudharauliwa na viongozi ?