Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
DaaaahNchi haina uongozi, imepwelewa.
Fedha zinachotwa lkn hakuna anayechukuliwa hatua. Badala yake wanawasumbua walimu waliocheza muziki wa Zuchu.
Wewe huna tofauti na Yule Waziri aliyekurupuka na kutoa tamko dhidi ya Waalimu kisa eti wamecheza mziki wa Zuchu.sihitaji kusoma najua we huandikagi kitu cha maana heading tu inatosha! Km huna akili hivyo dogo katafute hata ya kuazima!
Ninao uhakika ufipa mbeya wamepigwa mkwara na mswati!Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu .
Unadhani ni kwanini hali hii katika nchi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi wananchi wake wameonekana kama Mabwege , kiasi cha kudharauliwa na viongozi ?
Una uhakika watu wote wanaunga mkono hayo maandamano? Dk. Tulia, Mbunge wa Mbeya Mjini anayaunga mkono? Atahudhuria?Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu .
Unadhani ni kwanini hali hii katika nchi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi wananchi wake wameonekana kama Mabwege , kiasi cha kudharauliwa na viongozi ?
Subiri yakifanyika ndio mtajua yana sapoti au laHili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika .
Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu .
Unadhani ni kwanini hali hii katika nchi ya Tanzania ambayo kwa miaka mingi wananchi wake wameonekana kama Mabwege , kiasi cha kudharauliwa na viongozi ?
Mbeya kelele kwenye forumsMbeya safiiiiii
Watu wa Mbeya sio wa mchezomchezo
Natamani ningekuwa Mbeya nikaungana nao kutetea bandari zetu
Nje ya madaNinao uhakika ufipa mbeya wamepigwa mkwara na mswati!
Mada ni maandamano na ufipa ni chadema!Nje ya mada