Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

Huko kwenu Hai mtaunga mkono kwa kuandamana au mtaandamana kwenye keyboard?
 
Katika pitapita zangu humu JF. Sijakutana na Uzi hata mmoja unaodai "

"Unadhani kwanini Maandamano ya CHADEMA dhidi ya Miswada Bungeni yanaungwa mkono na watu wote'​


unadhani ni kwanini?

Hatahivyo, tunaweza kusema CHADEMA walikuwa wanafiki dhidi ya Sauti ya Watanzania.

Hakiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…