Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia kondomu, Lakini nyakati hizi mtu mmoja anaweza kuwa na michepuko au mipango ya kando kadha, Lakini hatumii kondomu na hajali hata kuitafuta, ni motro kwendra mbele...
Mbaya zaidi hata wanao nunua mapenzi mtaani kwa wanaojiuza, eti kuna bei elekezi kabisa kwamba kwa kutumia kondomu kiasi fulani na kavu kavu bila kutumia kondomu kiasi fulani..
aise hatari sana dah...
Lakini pia matangazo ya tahadhari juu ya umuhimu na matumizi sahihi ya kondomu hayaonekani tena kwenye vyombo vya habari Lakini pia kwenye majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii...,
Je,
Watu wameelewa sana kuhusu jambo hili au kitisho cha maambukizi ya magonjwa mabaya ya zinaa kama vile ukimwi, gono na kaswende vimepungua?
Au kuna mbadala wa njia bora zaidi za uzazi wa mpango na mimba zisizotarajiwa ambazo hazina madhara kiafya dhidi ya matumizi ya kondomu zimebuniwa?
Na vipi muungwana,
Mara ya mwisho umeiona kondomu wapi?
Na umetumia kondomu lini kwa mara ya mwisho na kwanini ilikuwa mwisho?🐒