Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
aise ni hatari sana,Wagonjwa wa ukimwi siku hizi hawaugui na kukondeana kama zamani. Hivyo watu hawaoni yale nateso waliykuwa wanayapitia ugnjwa huo ulipoingia. Wazamani hizo waliopo sio wenye mwamko wa kujamiiana kama vijana ambao hawkuona mateso ya waliougua. Watu walipuputika kondomu ikibidi unatumia mbili. Hii hali ya wagonjwa kuendelea kuishi kwa dawa huku wakijamiana inafanya woga usiwepo. Kijana anasema nina miaka 20 nikiugua napata dawa nikifika miaka 50 INATOSHA. HII DUNIA YA MAHANGAIKO HIVI. NDIO JIBU LA KUTOTUMIA KONDOMU.
kuungua hata kama ni malaria pana tesa na saa zingine panakatisha tamaa sana...
vijana wanapaswa kujifunza kwa undani juu ya athari za magonjwa ya zinaa katika afya na ndoto za maisha yako, waepuke kudanganya...
kuugua magonjwa ya zinaa ni fedheha sana japo unaweza usiambukizwe kwa kujamiiana 🐒