Unadhani kwanini matumizi ya kondomu na matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yamepungua mno?

aise ni hatari sana,
kuungua hata kama ni malaria pana tesa na saa zingine panakatisha tamaa sana...

vijana wanapaswa kujifunza kwa undani juu ya athari za magonjwa ya zinaa katika afya na ndoto za maisha yako, waepuke kudanganya...

kuugua magonjwa ya zinaa ni fedheha sana japo unaweza usiambukizwe kwa kujamiiana ๐Ÿ’
 
ni mihumu kutumia kondomu kuepuka fedheha ya magonjwa ya zinaa ๐Ÿ’
 
miafrica haisikiii
 
US wakituwekea vikwazo, hayo matangazo yatarudi
Ngoma ya sasa unakufa na kilo zako 100
kwamba unakufa na Afya yako, right?

lakini Nuru kuanzia usoni hua inapotea kabisaa hata upige make-up vipi inagoma ๐Ÿ’
 
Pengine wanao watu wanaelewa au laah wanaona magonjwa yamepungua lakini si hivo,magonjwa yapo na yanazidi kuongezeka Kila kukicha
 
Nguvu zenyewe za kuvala comdom zitoke wapi; hiyo kavu yenyewe tia maji tia maji.
Mtu mlo mmoja kwa siku tena wa mashaka mashaka; madeni kibao kutakuwa na game hapo kweli.
 
Nguvu zenyewe za kuvala comdom zitoke wapi; hiyo kavu yenyewe tia maji tia maji.
Mtu mlo mmoja kwa siku tena wa mashaka mashaka; madeni kibao kutakuwa na game hapo kweli.
Aise ๐Ÿ˜ณ

mbona unaibua kitu kipya cha maana na muhimu sana gentleman?

kwamba upungufu wa nguvu za kijinsia hasa wanaume kunakosababisha uume kua legelege ni miongni mwa mambo muhimu yanayosababisha kupungua kwa matumizi ya kondomu? right?๐Ÿ’

kwasababu kondomu ni sharti ivaliwe uume ukiwa umesimama Vizuri ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ