Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Imethibitishwa kuwa mwanga unasafiri kwa spidi ya km laki tatu kwa sekunde moja tu(300,000km/s), Yani kwa sekunde tu mwanga unaizunguka dunia mara Nane(08)
kuna nadharia nyingine(Hii sio yangu mimi,Lakini nimetokea kuisapoti kishingo upande)
NI HIVI:- Pengine Fikra ya mwanadamu ndio kitu chenye spidi kali kushindwa hata hup mwanga(sema imeshindikana kuthibitisha kisayansi)
Hebu chukulia mfano huu mwepesi:-
Mfano getoni kwenu mpo watatu(03) tu, na tuchukulie nyie mna mashati yakuvaa matatu tu(yaani kila mmoja wenu ana shati moja) la kuvaa {Kauka nikuvae 😁}
Sasa hapo geto kuna MTU A(shati jekundu) MTU B(Shati jeupe) MTU C(Shati la manjano)
MTU A mwenye shati jekundu akaenda kazini halafu mida mida mwenzake MTU B Mwenye shati jeupe akaja kumtembelea getto-mate mwezake:: yani ukimuona tu na shati jeupe MOJA KWA MOJA utajua getto-mate C amevaa shati la manjano
Hv mmeweza kupata picha hapo jinsi spidi ya fikra ilivyo??
Hoja mezani,(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga(A) au Fikra(B) )
Na uzi tayar