Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
[emoji106]Kilomita laki tatu.
Hata mtoa mada yuko sahihi nilijichanganya![emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Kilomita laki tatu.
... shule za wapi hizi? Wenzio wanazungumzia speed of light wewe unaleta stori za light intensity pengine bila kujua. Kwani ni lazima kitu kisafiri milele ndipo uweze kupima spidi yake? Macho yanaweza kuona kitu kwa sababu mwanga unaakisi maumbo au rangi za vitu kwenye retina za macho ndio maana bila mwanga hatuwezi kuona.Mwangaza ni kitu ambacho kinaisha mwishoni mwa uwezo wa chanzo kilichoanzisha mwangaza na hauna speed wala hausafiri,kama mwangaza unasafiri ungekuwa unasafiri milele bila ya kuwa na kikomo.kwa mfano ukiwasha taa mwangaza wake hausafiri ukaenda milele unaisha mwishoni mwa uwezo wa ile bulb,kama bulb ni watt 40 uwezo na duara la mwangaza litakuwa dogo,tafauti na kama bulb litakuwa 100 watt duara na uwezo itakuwa mkubwa na hapa hio safari ya mwangaza itaonekana kama ni kubwa lakini sababu ni nguvu ya chanzo cha mwangaza tu na sio usafiri wa mwangaza.
Kwa mfano Kama mwangaza unasafiri basi hata bulb ya watt 20 mwangaza ungekuwa sawa kutoka kwenye bulb na sehemu zote zingefikiwa na mwangaza hata kama chumba kina ukubwa wa mita 50x50 mwangaza ungefika kila pahala na nguvu ile ile kama ilivyo mita mbili kutoka kwenye bulb.
Fikra vile vile hazisafiri fikra ni kitu kimefungwa ndani ya uwezo wa akili na uwezo wa akili ni information iliyo ndani ya akili tu,fikra haziwezi kufikiria vitu ambavyo havijawekwa ndani ya akili,kama fikra zinasafiri na zina speed yeyote zingekuwa zinakuja na mambo makubwa sana kwa muda mchache tu,yaani haya maendeleo yote ya dunia yangewezekana kwa pengine miaka mitano tu na sio miaka zaidi ya 5000 kama inavyosema historia,kama tukianza kupima speed ya fikrakiuhalisia basi fikra ni katika vitu vilivyo slow sana yaani slow kupita maelezo, ndio innovation yote duniani inachukua milele kukamilika,kila siku kunakuja mambo mapya ya kuongeza kwenye kila uvumbuzi duniani,kama fikra zina speed kila kitu kingekuwa kishatokea masaa machache baada ya uvumbuzi.
Chukulia mfano wa uvumbuzi wa simu,ilivumbuliwa zaidi ya miaka mia aliyopita na mpaka sasa bado tunafikiria kuongeza mabadiliko kwenye tasnia ya simu,kama fikra zina speed yote angekwisha julikana masaa tu baada ya uvumbuzi.
... hiyo law nimekuwa nikii-mind sana! Kwamba, the amount of energy in the universe is constant; just the form changes! Now, sound is a form of energy; if so, sauti zote zilizowahi kutokea duniani hazijapotea, pengine zimebadilika form tu. I believe, one day, wenye brains zao kuna siku wataweza ku-reverse sauti (zilizo katika form nyingine ya energy) back to their original sounds/forms.Kitu ambacho mkuu umekisahau ni 'law of concervation of energy' inayosema energy can not be created nor destroyed but it can be transformed from one form to another.
...
Kivipi giza lisiwe kitu wakati tunaona ni giza? Sio kitu (nothing) does not existGiza sio kitu. Ni kutokuwepo kwa mwanga.
ukiwa na speed kiwa unaweza kubend mudaa!! ukiwa unaelekea wapii mkuu??? Itaishia kuwa nadharia tuHapana.. Kitu chenye speed zaidi ni Gravity mkuu.
Gravity ina speed kuliko mwanga..ndio maana mwanga hua haukatizi kwenye black holes/wormhole. Mwanga ukifika kwenye black holes hua unamezwa maana pale kuna gravity kubwa
Time is just a speed, So ukiwa na speed kubwa unaweza kuBend muda. So scientist wengi wanajaribu kutengeneza wormhole zenye garvity kubwa kama zilizopo kwenye spaces.
Regarding Your example naamini nervous system ndio kitu chenye speed zaidi. (Stimulus----->>>Response)
Mchakato wake upo chini ya nano second, imagine sauti inavyopita kwenye vipengele vyote ndani ya sikio la nje hadi la ndani kisha kwenda kwenye ubongo kutafsiriwa na kurudisha majibu kua ulichosikia kinamaanisha kitu fulani. Its matter of nano second
... ha ha ha! Anadhani kitu lazima kiwe tangible; uweze kukishikashika, kiwe na dimensions etc. ndio kiwe kitu; kumbe hata idea ni kitu. Ila mfumo wetu wa elimu umetulemaza sana; hata kwenye English (maana ni compulsory subject tofauti na Physics, etc.) angekuwa amefundishwa na kuelewa abstract nouns asingeandika hivyo!Kivipi giza lisiwe kitu wakati tunaona ni giza? Sio kitu (nothing) does not exist
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
interpretation speed. Nnilisoma kitabu kimoja kinausu mam o ya paranormals. Ni kwamba paranomal activities tunaziona zema ubongo wetu tunashinda kutafsii miale ya mwanza ilio ipata. Kwa mm speed ya mwanza na na mfumo wa fahamu ya mwadamu ni sawaVip speed ya macho ya Binadam kuona kitu
Giz ni just absence of light. Giza does not exist.
How sure are u? according to bible even God Creator alilikuta gizaa. Big bag there was nothing but darker. Je ubongo wetu unatafsiri iyo situation kama absence of light au kama colour yan black?Giz ni just absence of light. Giza does not exist.
Binafsi na dhan ni vyote sawaKitu ambacho mkuu umekisahau ni 'law of concervation of energy' inayosema energy can not be created nor destroyed but it can be transformed from one form to another.
Mwanga unasafiri kutoka point moja kwenda nyingine na speed yake inafahamika ni 3×10^8 m/s. Sababu ya balbu ya watt 100 kutokuweza kumulika chumba kikubwa sana ni kwamba jinsi mwanga unavyotoka point moja kwenda nyingine ile light energy inakua transformed kutoka form moja kwenda nyingine ambayo ni heat..
Ndio maana ukiwasha taa joto linaongezeka..
Kuhusu maada kuu.. ni kwamba light ndio ina speed kubwa kuliko fikra.. ukitaka kujua kwanni?
Jiulize fikra ni nini??
Mtu ukiona kitu flani inamaana kile kitu kimeenda kwnye retina ya jicho kikabadilisha kuwa electrical impulse ambazo zinasafirishwa kwenda kwenye brain na nerves.. zikifika kwenye brain zinatafsiriwa na kutunzwa.. sasa vile vitu vilivyotunzwa ndio fikra zako.. uwezo wa kuacess hizo fikra zako ni direct promotional na kasi ya hizo fikra.. ambazo zote zinategemea speed ya impulse ambayo NI NDOGO KULINGANISHA NA MWANGA. Hivyo mwanga una speed kubwa
Yani hapa nimekuelewa kuliko uelewa wenyewe daah!!... hiyo law nimekuwa nikii-mind sana! Kwamba, the amount of energy in the universe is constant; just the form changes! Now, sound is a form of energy; if so, sauti zote zilizowahi kutokea duniani hazijapotea, pengine zimebadilika form tu. I believe, one day, wenye brains zao kuna siku wataweza ku-reverse sauti (zilizo katika form nyingine ya energy) back to their original sounds/forms.
In that regard, kuna siku (watu/kizazi kingine) watasikia mahubiri ya Bwana Yesu Kristo (live) na manabii maana sauti zao ziko tu somewhere in another form ni suala la kuzirudisha kwenye original form tu! Hata uhalifu utaisha maana yaliyojadiliwa sirini yatawekwa wazi kwa re-wind mazungumzo! Very important law indeed!
Mkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.How sure are u? according to bible even God Creator alilikuta gizaa. Big bag there was nothing but darker. Je ubongo wetu unatafsiri iyo situation kama absence of light au kama colour yan black?
Huwezi kumuona kwa speed itakayozidi speed ya mwanga, kwa sababu utahitaji mwanga kumuona.Imethibitishwa kuwa mwanga unasafiri kwa spidi ya km laki tatu kwa sekunde moja tu(300,000km/s), Yani kwa sekunde tu mwanga unaizunguka dunia mara Nane(08)
kuna nadharia nyingine(Hii sio yangu mimi,Lakini nimetokea kuisapoti kishingo upande)
NI HIVI:- Pengine Fikra ya mwanadamu ndio kitu chenye spidi kali kushindwa hata hup mwanga(sema imeshindikana kuthibitisha kisayansi)
Hebu chukulia mfano huu mwepesi:-
Mfano getoni kwenu mpo watatu(03) tu, na tuchukulie nyie mna mashati yakuvaa matatu tu(yaani kila mmoja wenu ana shati moja) la kuvaa {Kauka nikuvae [emoji16]}
Sasa hapo geto kuna MTU A(shati jekundu) MTU B(Shati jeupe) MTU C(Shati la manjano)
MTU A mwenye shati jekundu akaenda kazini halafu mida mida mwenzake MTU B Mwenye shati jeupe akaja kumtembelea getto-mate mwezake:: yani ukimuona tu na shati jeupe MOJA KWA MOJA utajua getto-mate C amevaa shati la manjano
Hv mmeweza kupata picha hapo jinsi spidi ya fikra ilivyo??
Hoja mezani,(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga(A) au Fikra(B) )
Na uzi tayar
Umechambua kutaalamu sana bro tunaanzaje kukuchallengeHii napingana nayo.
Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.
Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.
Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.
ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.
Mfano mdogo huu hapa
Unaweza ukaniambia
2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?
Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.
Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?
Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.
Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.
Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.
Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.
So in my opinion speed of light wins.
Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.
Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
Mimi nadhani kilicho na chonzo Ni mwanga, kwa sababu mwanga una mwanzo na umenzishwa na kitu.Mkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.
Na mwanga si kitu kutokuwepo kwa gizaGiza sio kitu. Ni kutokuwepo kwa mwanga.
kushidwa kukidadisi kitu au kukiona haimaanish kama kitu hiko hakipoMkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.