Unadhani Mwanga ndio kitu chenye spidi ya juu kushinda kila kitu? Vipi kuhusu hili jambo?

(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga au Fikra


  • Total voters
    50
  • Poll closed .
Kitu ambacho mkuu umekisahau ni 'law of concervation of energy' inayosema energy can not be created nor destroyed but it can be transformed from one form to another.

Mwanga unasafiri kutoka point moja kwenda nyingine na speed yake inafahamika ni 3×10^8 m/s. Sababu ya balbu ya watt 100 kutokuweza kumulika chumba kikubwa sana ni kwamba jinsi mwanga unavyotoka point moja kwenda nyingine ile light energy inakua transformed kutoka form moja kwenda nyingine ambayo ni heat..
Ndio maana ukiwasha taa joto linaongezeka..



Kuhusu maada kuu.. ni kwamba light ndio ina speed kubwa kuliko fikra.. ukitaka kujua kwanni?

Jiulize fikra ni nini??
Mtu ukiona kitu flani inamaana kile kitu kimeenda kwnye retina ya jicho kikabadilisha kuwa electrical impulse ambazo zinasafirishwa kwenda kwenye brain na nerves.. zikifika kwenye brain zinatafsiriwa na kutunzwa.. sasa vile vitu vilivyotunzwa ndio fikra zako.. uwezo wa kuacess hizo fikra zako ni direct promotional na kasi ya hizo fikra.. ambazo zote zinategemea speed ya impulse ambayo NI NDOGO KULINGANISHA NA MWANGA. Hivyo mwanga una speed kubwa
 
... shule za wapi hizi? Wenzio wanazungumzia speed of light wewe unaleta stori za light intensity pengine bila kujua. Kwani ni lazima kitu kisafiri milele ndipo uweze kupima spidi yake? Macho yanaweza kuona kitu kwa sababu mwanga unaakisi maumbo au rangi za vitu kwenye retina za macho ndio maana bila mwanga hatuwezi kuona.

Mfano, gizani/usiku umewasha taa ni nini kinatokea ili uweze kutambua vitu vinavyokuzunguka? Mwanga umeanzia kwenye taa (source) hadi kwenye kitu (mf. meza ndani kwako), then umbo la meza likawa reflected kwenye retina ikashirikiana na ubongo kutafsiri ndipo ukaweza kujua ile ni meza, kitanda, kikombe, au chochote kile kinachokuzunguka. Hapo mwanga haujasafiri? Au ni wewe ndiye umesafiri? Kutokana kasi ya ajabu ya mwanga ndio maana unaona instantly bila kujua mwanga umesafiri given the short distance kati yako, taa/source, na vitu/destination.

Iko hivi, spidi ni umbali gawanya kwa muda ambao kitu kimesafiri umbali huo. "Umbali" haitajiki makumi au maelfu ya kilometa ili uwe umbali; nope! Umbali unaweza kuwa just a few millimeters, centimeters, or meters, to any distance. La muhimu, for whater unit of measure you choose, equivalent time should be taken bado spidi itakuwa ile ile (constant).
 
Kitu ambacho mkuu umekisahau ni 'law of concervation of energy' inayosema energy can not be created nor destroyed but it can be transformed from one form to another.
...
... hiyo law nimekuwa nikii-mind sana! Kwamba, the amount of energy in the universe is constant; just the form changes! Now, sound is a form of energy; if so, sauti zote zilizowahi kutokea duniani hazijapotea, pengine zimebadilika form tu. I believe, one day, wenye brains zao kuna siku wataweza ku-reverse sauti (zilizo katika form nyingine ya energy) back to their original sounds/forms.

In that regard, kuna siku (watu/kizazi kingine) watasikia mahubiri ya Bwana Yesu Kristo (live) na manabii maana sauti zao ziko tu somewhere in another form ni suala la kuzirudisha kwenye original form tu! Hata uhalifu utaisha maana yaliyojadiliwa sirini yatawekwa wazi kwa re-wind mazungumzo! Very important law indeed!
 
ukiwa na speed kiwa unaweza kubend mudaa!! ukiwa unaelekea wapii mkuu??? Itaishia kuwa nadharia tu
 
Kivipi giza lisiwe kitu wakati tunaona ni giza? Sio kitu (nothing) does not exist

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
... ha ha ha! Anadhani kitu lazima kiwe tangible; uweze kukishikashika, kiwe na dimensions etc. ndio kiwe kitu; kumbe hata idea ni kitu. Ila mfumo wetu wa elimu umetulemaza sana; hata kwenye English (maana ni compulsory subject tofauti na Physics, etc.) angekuwa amefundishwa na kuelewa abstract nouns asingeandika hivyo!
 
Vip speed ya macho ya Binadam kuona kitu
interpretation speed. Nnilisoma kitabu kimoja kinausu mam o ya paranormals. Ni kwamba paranomal activities tunaziona zema ubongo wetu tunashinda kutafsii miale ya mwanza ilio ipata. Kwa mm speed ya mwanza na na mfumo wa fahamu ya mwadamu ni sawa
Giz ni just absence of light. Giza does not exist.
 
Giz ni just absence of light. Giza does not exist.
How sure are u? according to bible even God Creator alilikuta gizaa. Big bag there was nothing but darker. Je ubongo wetu unatafsiri iyo situation kama absence of light au kama colour yan black?
 
Binafsi na dhan ni vyote sawa
 
Yani hapa nimekuelewa kuliko uelewa wenyewe daah!!
 
How sure are u? according to bible even God Creator alilikuta gizaa. Big bag there was nothing but darker. Je ubongo wetu unatafsiri iyo situation kama absence of light au kama colour yan black?
Mkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.
 
Huwezi kumuona kwa speed itakayozidi speed ya mwanga, kwa sababu utahitaji mwanga kumuona.

Na hivyo mawazo yako, hayawezi kuzidi speed ya mwanga.

Pia, mawazo yako yanategemea reactions za electrochemical processes kichwani mwako,ambazo nazo zipo limited na speed ya mwanga, kwa hiyo huwezi kuwaza kwa speed ya zaidi ya speed ya mwanga.

Actually biological organs kama ubongo zina slow down speed ya mawazo kwa sehemu kubwa sana.
 
Umechambua kutaalamu sana bro tunaanzaje kukuchallenge
 
Mkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.
Mimi nadhani kilicho na chonzo Ni mwanga, kwa sababu mwanga una mwanzo na umenzishwa na kitu.

Kitu sisicho kua na chanzo Ni kiza.

Kwa maana hio giza lipo kabla ya mwanga na ndio kusema giza ndio lenye mwendo kazi zaidi ya mwanga

Pia giza ndio asili ya ulimwengu, mwanga umekuja umelikuta giza, mwanga hukifukuza giza pindi huo mwanga ukiwepo.

Huo mwanga ukitoweka giza hurudia mahali pake kwa speed ile ya mwanga kutoweka .

Giza Ni kama maji yaliopo ndani ya ndoo, pindi uwekapo labda jiwe Yale maji hutoka na kuliachia jiwe nafasi kadiri ya ukubwa wake Hilo jiwe.

Kwa kua mwanga umekuja umelikuta giza hutumia nguvu nyingi kupata nafasi ndani ya giza na giza halitaki ubishi hulipa nafasi mwanga kwa sababu lenyewe giza linajua ndio asili ya kila kilichopo.

Kwa hio unaposema mwanga ndio wenye na kutembea kwa mwendo zaidi tusisahau giza.


Lakini bado fikra hazina uwezo wa kutembea sawa au kuzidi mwanga, kwa sababu fikra zimefungwa katika mwanga, fikra hazina uwezo wowote nje wa mwanga, so kilichotangulia kimetangulia tu. Kadhalika mwanga haufui dafu kwa giza kwa vile giza lipo kabla ya mwanga.
 
Mkuu source of darkness ni nini? Sidhani kama tayari kuna scientific proof ya source of darkness, ndiyo maana huwezi act on darkness kwa minajiri ya kuongeza/kupunguza giza badala yake utadil na mwanga. Ni mawazo yangu tu lakini.
kushidwa kukidadisi kitu au kukiona haimaanish kama kitu hiko hakipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…