Mkuu ukizungumzia speed lazima umbali(distance) uwepo,, yaani source na destination. Mfano wako wa gurudumu source ni point ya hilo gurudumu kuanza kuzunguka.Hapana spidi sio lazima iwe na umbali. Fikiria kuhusu gurudumu linalozungushwa na injini bila kutembea au motor, je huwezi pima spidi yake?
Mkuu ukizungumzia speed lazima umbali(distance) uwepo,, yaani source na destination. Mfano wako wa gurudumu source ni point ya hilo gurudumu kuanza kuzunguka.
Na wao walilenga kitu sio haliNi kweli fikra ya mwanadamu ina speed kuliko mwanga, unaweza kwenda nnje ya galaxy yetu kwa hio sekunde, labda tofauti ije kwamba mwanga ni KITU, cha kuonekana kwa macho, na fikra ni HALI, isiyoonekana kwa macho
Fikra hazisafiri kwa sbabu haziendani na basic definition ya kusafir kwenye Physics...Fikra ni byproduct tu ya neural activity fulan ndan ya ubongoTatizo mnachanganya vitu viwili, travel speed na processor speed. Sasa hivi mimi hapa nilipo sekunde moja iliyopita, nilikuwa ninaiwaza nearest galaxy Canis Major Dwarf ambayo iko umbali wa 25,000 light years. Nimetumia sekunde moja tu kuwaza umbile ambalo mwanga unaweza kufika huko baada ya miaka elfu 25. Msichanganye processor speed na travel speed. Aliyeanzisha mada anaongelea hiki cha pili, yaani travel speed
CorrectHii napingana nayo.
Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.
Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.
Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.
ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.
Mfano mdogo huu hapa
Unaweza ukaniambia
2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?
Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.
Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?
Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.
Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.
Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.
Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.
So in my opinion speed of light wins.
Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.
Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
Sio kweli, unapimaje gravity from starting point to the end ili kupima kasi. So tukiwa mwezini na tukiwa katika earth's surface tunaweza kupata kiwango sawa cha gravitational forces.Hapana.. Kitu chenye speed zaidi ni Gravity mkuu.
Gravity ina speed kuliko mwanga..ndio maana mwanga hua haukatizi kwenye black holes/wormhole. Mwanga ukifika kwenye black holes hua unamezwa maana pale kuna gravity kubwa
Time is just a speed, So ukiwa na speed kubwa unaweza kuBend muda. So scientist wengi wanajaribu kutengeneza wormhole zenye garvity kubwa kama zilizopo kwenye spaces.
Regarding Your example naamini nervous system ndio kitu chenye speed zaidi. (Stimulus----->>>Response)
Mchakato wake upo chini ya nano second, imagine sauti inavyopita kwenye vipengele vyote ndani ya sikio la nje hadi la ndani kisha kwenda kwenye ubongo kutafsiriwa na kurudisha majibu kua ulichosikia kinamaanisha kitu fulani. Its matter of nano second
Mwanga una source, giza halina source....GIZA JE HALINA SPEED.. KWA NINI WANAUJADILI MWANGA TUU WAKATI GIZA NA MWANGA VINAENDA PAMOJA???
nitashukuru nikielimishwa kitaalam.
Kuna case tha late stimulus reaction......Kwenye nervous system nakuunga mkono. Unakanyaga mwiba mguuni unaondoa mguu fasta, taarifa imeshatoka mguuni imeshafika Kwenye ubongo, imeshatafsiriwa inashuka mguuni unaondoa mguu, huo mchakato nusu sekunde ni nyingi.
Haujawahi kuona mtu amekurupushwa amejikata anakuja kujua baadae kuwa anatoka damu na hata hakuwa akijua kuwa kaumia....?!Kwenye nervous system nakuunga mkono. Unakanyaga mwiba mguuni unaondoa mguu fasta, taarifa imeshatoka mguuni imeshafika Kwenye ubongo, imeshatafsiriwa inashuka mguuni unaondoa mguu, huo mchakato nusu sekunde ni nyingi.
Waves =mawimbi.If you look at these two things closely (light and nervous system) you find that they all either operate or in form of waves.
The nervous system works in form of waves and light travels as waves. In this sense how possible that nervous system win speed over light?
Giza ni whole space. Mwanga ni mada.Kwa namna gani giza si kitu?
Kwa namna gani kwamba giza halina speed?
In our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.Mkuu sio kuwa mwanga unasafikiri kushinda kila kitu, ila hakuna kitu chenye mass ambacho kinaweza kufikia hiyo speed.
Sababu it will take unlimited energy kukifisha hiyo speed which is not practical.
Fikra hazisafiri ndiyo, lakini zina uwezo wa kuleta kitu kilicho umbali wowote ule ukakiona muda huo huo pale ulipo. Fikra siyo physical na hivyo haziwezi ku-obey the laws of physics lakini ziko embebed kwenye kiungo ambacho ni sehemu ya physical body, yaani mwili wa binadamu unaoweza ku-obey such laws.Fikra hazisafiri kwa sbabu haziendani na basic definition ya kusafir kwenye Physics...Fikra ni byproduct tu ya neural activity fulan ndan ya ubongo
Ni kweli kabisa. Watu wanaofanya yoga pamoja na meditation wana uwezo huoIn our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.
Yes I acknowledge that, ndo mana nipo puzzled sana na ile concept ya kuwa time is an illusion.In our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.
Point of view yangu ni hiviFikra hazisafiri ndiyo, lakini zina uwezo wa kuleta kitu kilicho umbali wowote ule ukakiona muda huo huo pale ulipo. Fikra siyo physical na hivyo haziwezi ku-obey the laws of physics lakini ziko embebed kwenye kiungo ambacho ni sehemu ya physical body, yaani mwili wa binadamu unaoweza ku-obey such laws.
Now, assuming fikra hizi zilizobebwa na kiungo ambacho ni sehemu ya physical body na namna zinavyofanya kazi, zingekuwa na uwezo wa kuusababisha mwili nao pia vile vile ku-act in the same way; hiki ndicho tunachokiongelea hapa
Umeeandika vizuri,,,Hii napingana nayo.