Unadhani Mwanga ndio kitu chenye spidi ya juu kushinda kila kitu? Vipi kuhusu hili jambo?

Unadhani Mwanga ndio kitu chenye spidi ya juu kushinda kila kitu? Vipi kuhusu hili jambo?

(Unahisi kipi kina spidi zaidi, Mwanga au Fikra

  • Total voters
    50
  • Poll closed .
Hapana spidi sio lazima iwe na umbali. Fikiria kuhusu gurudumu linalozungushwa na injini bila kutembea au motor, je huwezi pima spidi yake?
Mkuu ukizungumzia speed lazima umbali(distance) uwepo,, yaani source na destination. Mfano wako wa gurudumu source ni point ya hilo gurudumu kuanza kuzunguka.
 
Mkuu ukizungumzia speed lazima umbali(distance) uwepo,, yaani source na destination. Mfano wako wa gurudumu source ni point ya hilo gurudumu kuanza kuzunguka.

Nahisi unachanganya kati ya umbali unaofikiwa na kitu kilicho katika mwendo toka point moja kwenda nyingine na “speed” au uharaka/utaratibu wa hicho kitu kufika umbali fulani.
Ntakubaliana na wewe ikiwa speed haiwezi kuwepo bila ya “time” but not necessarily distance/displacement
 
Ni kweli fikra ya mwanadamu ina speed kuliko mwanga, unaweza kwenda nnje ya galaxy yetu kwa hio sekunde, labda tofauti ije kwamba mwanga ni KITU, cha kuonekana kwa macho, na fikra ni HALI, isiyoonekana kwa macho
Na wao walilenga kitu sio hali

Uzi ulitakiwa kuishia hapa
 
Tatizo mnachanganya vitu viwili, travel speed na processor speed. Sasa hivi mimi hapa nilipo sekunde moja iliyopita, nilikuwa ninaiwaza nearest galaxy Canis Major Dwarf ambayo iko umbali wa 25,000 light years. Nimetumia sekunde moja tu kuwaza umbile ambalo mwanga unaweza kufika huko baada ya miaka elfu 25. Msichanganye processor speed na travel speed. Aliyeanzisha mada anaongelea hiki cha pili, yaani travel speed
Fikra hazisafiri kwa sbabu haziendani na basic definition ya kusafir kwenye Physics...Fikra ni byproduct tu ya neural activity fulan ndan ya ubongo
 
Swala linakuja ni umepima kasi ya fikra kwa kutumia umbali gani?!

Mwanga tunapima kwa umbali namna unaweza fika wapi kutoka kwenye source. Yaanj source inaweza kuwa ni jua na destination ni ardhini.

Au tochi halafu destination ni anga. Au kama ni sauti basi tunapima kutoka chanzo mfano kinywa cha mtu, au kifaa cha chuma, au kengele then tunapima sauti inasafiri kwa kasi gani hadi katika destination yake....

Sasa fikra tuassume imeanza kichwani mwako, enhee, destination ni wapi?!
 
Hii napingana nayo.

Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.

Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.

Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.

ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.

Mfano mdogo huu hapa

Unaweza ukaniambia

2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?

Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.

Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?

Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.

Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.

Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.

Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.

So in my opinion speed of light wins.

Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.

Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
Correct
 
Hapana.. Kitu chenye speed zaidi ni Gravity mkuu.
Gravity ina speed kuliko mwanga..ndio maana mwanga hua haukatizi kwenye black holes/wormhole. Mwanga ukifika kwenye black holes hua unamezwa maana pale kuna gravity kubwa

Time is just a speed, So ukiwa na speed kubwa unaweza kuBend muda. So scientist wengi wanajaribu kutengeneza wormhole zenye garvity kubwa kama zilizopo kwenye spaces.

Regarding Your example naamini nervous system ndio kitu chenye speed zaidi. (Stimulus----->>>Response)

Mchakato wake upo chini ya nano second, imagine sauti inavyopita kwenye vipengele vyote ndani ya sikio la nje hadi la ndani kisha kwenda kwenye ubongo kutafsiriwa na kurudisha majibu kua ulichosikia kinamaanisha kitu fulani. Its matter of nano second
Sio kweli, unapimaje gravity from starting point to the end ili kupima kasi. So tukiwa mwezini na tukiwa katika earth's surface tunaweza kupata kiwango sawa cha gravitational forces.
 
Kwenye nervous system nakuunga mkono. Unakanyaga mwiba mguuni unaondoa mguu fasta, taarifa imeshatoka mguuni imeshafika Kwenye ubongo, imeshatafsiriwa inashuka mguuni unaondoa mguu, huo mchakato nusu sekunde ni nyingi.
Kuna case tha late stimulus reaction......
 
Kwenye nervous system nakuunga mkono. Unakanyaga mwiba mguuni unaondoa mguu fasta, taarifa imeshatoka mguuni imeshafika Kwenye ubongo, imeshatafsiriwa inashuka mguuni unaondoa mguu, huo mchakato nusu sekunde ni nyingi.
Haujawahi kuona mtu amekurupushwa amejikata anakuja kujua baadae kuwa anatoka damu na hata hakuwa akijua kuwa kaumia....?!
 
If you look at these two things closely (light and nervous system) you find that they all either operate or in form of waves.

The nervous system works in form of waves and light travels as waves. In this sense how possible that nervous system win speed over light?
Waves =mawimbi.

Aliyekufundisha hivyo alikukosea. Sauti ndio inasafiri kwa mawimbi thats why masikio yako yanapokea sauti kupitia eardrums ambazo zinaconvert sound waves into sound, voice, music etc.

Mwanga unasafiri kwa kutumia energy packets zinazoitwa photons. Groups za hizi particles zinazoitwa photons huwa zinaforms narrow beams ambazo huunda rays.

(Damn am good in physics, ningamake a good scientist kama ningekuwa ulaya)
 
Mkuu sio kuwa mwanga unasafikiri kushinda kila kitu, ila hakuna kitu chenye mass ambacho kinaweza kufikia hiyo speed.
Sababu it will take unlimited energy kukifisha hiyo speed which is not practical.
In our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.
 
Fikra hazisafiri kwa sbabu haziendani na basic definition ya kusafir kwenye Physics...Fikra ni byproduct tu ya neural activity fulan ndan ya ubongo
Fikra hazisafiri ndiyo, lakini zina uwezo wa kuleta kitu kilicho umbali wowote ule ukakiona muda huo huo pale ulipo. Fikra siyo physical na hivyo haziwezi ku-obey the laws of physics lakini ziko embebed kwenye kiungo ambacho ni sehemu ya physical body, yaani mwili wa binadamu unaoweza ku-obey such laws.

Now, assuming fikra hizi zilizobebwa na kiungo ambacho ni sehemu ya physical body na namna zinavyofanya kazi, zingekuwa na uwezo wa kuusababisha mwili nao pia vile vile ku-act in the same way; hiki ndicho tunachokiongelea hapa
 
In our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.
Ni kweli kabisa. Watu wanaofanya yoga pamoja na meditation wana uwezo huo
 
In our time line, but in another dimension there are people who can travel through time.... Millions of light years.
Yes I acknowledge that, ndo mana nipo puzzled sana na ile concept ya kuwa time is an illusion.
 
Mmoja azungumzie blachole na warmhole n vitu gan?
 
Fikra hazisafiri ndiyo, lakini zina uwezo wa kuleta kitu kilicho umbali wowote ule ukakiona muda huo huo pale ulipo. Fikra siyo physical na hivyo haziwezi ku-obey the laws of physics lakini ziko embebed kwenye kiungo ambacho ni sehemu ya physical body, yaani mwili wa binadamu unaoweza ku-obey such laws.

Now, assuming fikra hizi zilizobebwa na kiungo ambacho ni sehemu ya physical body na namna zinavyofanya kazi, zingekuwa na uwezo wa kuusababisha mwili nao pia vile vile ku-act in the same way; hiki ndicho tunachokiongelea hapa
Point of view yangu ni hivi
Mfano ukivuta picha unatembea kwenye ngazi za great wall of china,hyo imagination ni byproduct tu ya neural activity ndani ya brain yako(literally) na kuipata hyo byproduct kuna inputs ulikuw nazo mfano picha/video ulizowah kuziona za great wall hii ni imagination tu na ukienda mbal zaid inakuw fantansy tu lakn kwenye normal sense wew upo stationary,ubongo wako upo stationary na hizo fikra zipo stationary
 
Fikra ni matokeo ya ubongo.

Chukua hii.

Unapozamishwa kwenye kina cha bahari kule chini kabisa, pressure ni kubwa sana, ambapo mwili wa mwanadamu hauna uwezo wa kuhimili mgandamizo wa maji.

Sasa ipo hivi
Ule mgandamizo unakuua bila ya wewe kusikia maumivu yoyote.

Maana yake nini?
ni tukio la ghafla sana, kiasi cha kwamba zile message za kusafirisha taarifa kwenda kwenye ubongo zinaachwa kwa speed ya implosion.

Halaf huo mfano wako umejikita kwenye computation yani uwezo wa ubongo kuchakata.

Unaweza ukai model computer program ikajua wote hao wamevaa nguo gani bila hata ya kuwaona, inategemea na variables na algorithm utakayotumia😂
 
Hii napingana nayo.

Ili upate speed ya kitu lazima utahitaji starting point na destination.
Kitu ambacho kwa mwanga kinawezekana ila kwa fikra ni ngumu kidogo.
Hivyo ili tuweze kumeasure thought speed itabidi tutumie speed ya fikra kuchakata taarifa mpaka pale utakapopata jibu.

Mwanga always uko na speed constant isiyobadilika.

Lakini fikra haziwezi kuwa na speed constant na sidhani kama kuna uwezekano wa kufikia light speed.

ili kujaribu kuprove hilo kwamba speed ya fikra sio constant.
Na sometimes inaweza kuwa slow zaidi ya bando la Airtel au gari lisilo na engine.

Mfano mdogo huu hapa

Unaweza ukaniambia

2,424,697,415,356 x 7,786,326,964,664= sawasawa ni ngapi?

Sidhani hata kama umesoma hizo namba, zisome kwanza.

Je fikra zako zitaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 Bila ya msaada wowote?

Bila shaka hakuna binadamu duniani anaweza kuchakata hiyo taarifa chini au ndani ya sekunde 1 kwa mara ya kwanza na ukapata jibu bila msaada wowote.

Lakini wakati huohuo ukisema 1+1= ngapi?
Bila shaka asilimia kubwa ya watu wote duniani wanaweza kujua jibu ya hiyo taarifa chini au ndani ya seconds.
Baada ya kuona tu hiyo taarifa tayari fikra zako zimeshachakata hiyo taarifa ndani ya some milliseconds.

Hivyo mpaka hapo tayari speed ya fikra sio constant.

Kuna mengi hapo katikati ila kitendo cha light kuwa na speed constant isiyobadilika under any circumstances tayari speed of light ni almost untouchable at everything.

So in my opinion speed of light wins.

Kingine ni kwamba
technically black hole haimezi mwanga.
Bali massive gravity ya blackhole inabend space.
Na mwanga unafuatisha na kuexist kwenye space hivyo black hole ikibend space then mwanga nao utabend in ili kufuata au kuendana na hiyo space curvature.

Anayeweza kuniprove wrong, kunikosoa au kunichallenge Aje.
Umeeandika vizuri,,,
ila mwishoni kabisa umemalizia kama I'd yako inavyojieleza! Sijui unataka kutuaminisha nini kwenye aya yako ya mwisho!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom