Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

Nakubaliana na wewe kwenye hilo la kuwa Chadema wengi ni vilaza. Ndio maana wakihamia CCM hawapati nafasi za uteuzi kwa sababu CCM kumejaa watu wenye weledi mkubwa.

Amandla...
 
Kama chadema ni wajinga basis ccm ni wapumbavu
 
Walio wengi wakina nani? Katiba mpya itakuletea pesa mezani?
Kwanza hujitambue ndio utaeleweka,katiba inayodaiwa ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa.
Labda wewe ndio mkandamiza watawaliwa kwako ungependa uendelee kwa maslahi yako wala sikushangai,your days are numbered.
 
Nadhani vyanzo vya hela vimepungua
 
Eswatin wanazuoni walikaa nyuma wenye nchi wako kwenye harakati
 
Mkuu ww subiri ya mama, acha sisi tudai hii isiyo ya amani, tukiipata hii isiyo ya amani, ww na wenzio mtadai hiyo ya amani.
 
Uzee ameisha anza poteza kumbukumbu, Kama babu rais mstaafu,
 
Hao wazee wote siku zao si nyingi, wamechoka kupuuzwa na kususia ili wapumzike kiasili.
 
Hii ni kweli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba yeyote iwayo inahitaji pia utashi wa kisiasa kuitekeleza hivyo nakubaliana na Prof Shivji kuwa tunahitaji mjadala mpana zaidi na kujenga utashi wa kisiasa. Hofu yangu ni kuwa kama ushiriki wa mjadala hautakuwa mpana na shirikishi kuna hatari katiba hii mpya ikawa na makengengeza au ikawa vita ya mabepari uchwara "petty bourgousie"wakigombea uongozi na hivyo kusababisha "intra class struggle" na wale wengine kama mimi wakiachwa nje kimaslahi. Tuwe makini sana kufahamu iwapo katiba tunayoitaka ina beba maslahi ya wananchi wote. Tufanye mjadala mpana kutafuta maslahi ya wote"common interests" ili mchakato baadaye uwe shirikishi yakiwemo makundi yote na uzae matunda mema
 
Sasa hivi hakuna hiyo katiba mpya, je ni kipi kinafanya nchi yetu iendelee kuwa masikini Sana?
Nature ya wa Tzn ni viazi, Wazuri wa kulaumu,kulalamika,kukosoa ila hawana suluhisho.

Hii ni shida sana,kwa hiyo Katiba mpya has nothing to do with nature
 
Nature ya wa Tzn ni viazi, Wazuri wa kulaumu,kulalamika,kukosoa ila hawana suluhisho.

Hii ni shida sana,kwa hiyo Katiba mpya has nothing to do with nature
Ili wawe na suluhisho inabidi wafanye?
 
Katiba na sheria za Sasa zinataka mikataba kuwekwa huru na vyombo vya kuiwajibisha vipo sasa sijui wewe unadhani Katiba mpya ndio utaenda mahakamani,itaandamana nk
Ili wawe na suluhisho inabidi wafanye?
Elimu na uchumi kwanza, maskini na demokrasia wapi na wapi ndugu
 
Suala la Katiba mpya sio la kukurupuka, ni suala linalohitaji utulivu mkubwa wa kifikra.

Ukurupukaji ni moja ya sababu zilizokwamisha Katiba
 
Katiba na sheria za Sasa zinataka mikataba kuwekwa huru na vyombo vya kuiwajibisha vipo sasa sijui wewe unadhani Katiba mpya ndio utaenda mahakamani,itaandamana nk

Elimu na uchumi kwanza, maskini na demokrasia wapi na wapi ndugu

Hiyo katiba mpya haikuwepo na Kenya wakapata katiba mpya, mbona uchumi wao ni bora kuliko wetu? Au wakenya wao ni matajiri? Jitahidi kutokuwa bendera fuata upepo kidogo.
 
Kwani yeye ni chama gani na anataka kwenda chama kipi ah si ndivyo wana anza hivyo ili kuondaka au kuhama chama wee umesahau au , natania tu.
 
Suala la Katiba mpya sio la kukurupuka, ni suala linalohitaji utulivu mkubwa wa kifikra.

Ukurupukaji ni moja ya sababu zilizokwamisha Katiba

Ni kweli, huo utulivu utaupimaje ili uweze kupata katiba mpya?
 
Hiyo katiba mpya haikuwepo na Kenya wakapata katiba mpya, mbona uchumi wao ni bora kuliko wetu? Au wakenya wao ni matajiri? Jitahidi kutokuwa bendera fuata upepo kidogo.
Umeanza kuwa bora baada ya Katiba mpya au? Acha upimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…