Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.

CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.

Nakubaliana na wewe kwenye hilo la kuwa Chadema wengi ni vilaza. Ndio maana wakihamia CCM hawapati nafasi za uteuzi kwa sababu CCM kumejaa watu wenye weledi mkubwa.

Amandla...
 
Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.

CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.
Kama chadema ni wajinga basis ccm ni wapumbavu
 
Walio wengi wakina nani? Katiba mpya itakuletea pesa mezani?
Kwanza hujitambue ndio utaeleweka,katiba inayodaiwa ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa.
Labda wewe ndio mkandamiza watawaliwa kwako ungependa uendelee kwa maslahi yako wala sikushangai,your days are numbered.
 
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na wengine baadhi tena Wastaafu kutoka Taasisi Nyeti Tanzania.

Hata hivyo nimeshangaa na hata Kushtushwa baada ya kuona akinukuliwa mahala hasa Magazetini na Mitandaoni sasa akisema kuwa Katiba Mpya isikurupukiwe Kwanza kwani kama Taifa tunahitaji Mjadala mpana juu ya hili.

Kwanini Wasomi tena Wanazuoni kabisa wa Tanzania wanapenda mno Kutuchanganya Akili zetu kana kwamba Watanzania wengine ni Mambumbumbu tu ni unaweza ukawaja Ujinga au Upumbavu fulani na si tu wakauamini bali wataufuata pia?

Je, Profesa Shivji yupo sahihi na ana Hoja ya Msingi Kwetu tunaojua Uwezo wake mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaaluma na Kiuweledi au pengine anaanza tu Kuzeeka vibaya hivyo tumsamehe na tumuambie atuache na ajikite zaidi katika Kuwalea Wajukuu zake na Vilembwe wake tu?
Nadhani vyanzo vya hela vimepungua
 
Eswatin wanazuoni walikaa nyuma wenye nchi wako kwenye harakati
 
Uchumi wa JK ulikuwa mzuri sana maendeleo ya watu kila kona aisee ununuzi wa viwanja, ujenzi wa nyumba, watoto kusoma shule nzuri, dah usinikumbushe ule uchumi mtamu.

Kipindi cha dhalimu ni maendeleo ya miradi serikali while maendeleo ya wananchi yalizorota sanaa kufilisika na kufokewa.

Mama ajenge uchumi kwanza, haswa kwenye hili janga la korona, utalii umesimama, madini yameshuka bei, wawekezaji walitimua mbio kipindi cha dhalimu.

Katiba mpya ipo tuu hata kama tusipoipata sisi, watoto wetu wataipata, na katiba mpya haipatikani kirahisi hivyo chini ya utawala wa Polisiccm.

Kuipata katiba mpya ya warioba ni kuingia mwituni kushika mtutu au maandamano usiku na mchana je uko tayari kupigwa mabomu na risasi?

Nilishapigwa mabomu Arusha kwa ajili ya Lema/Chadema siko tayari tena kupigwa mabomu kwa ajili yao kwa sasa, nasubiria katiba ya amani ambayo mama ametuahidi.

Mkuu ww subiri ya mama, acha sisi tudai hii isiyo ya amani, tukiipata hii isiyo ya amani, ww na wenzio mtadai hiyo ya amani.
 
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na wengine baadhi tena Wastaafu kutoka Taasisi Nyeti Tanzania.

Hata hivyo nimeshangaa na hata Kushtushwa baada ya kuona akinukuliwa mahala hasa Magazetini na Mitandaoni sasa akisema kuwa Katiba Mpya isikurupukiwe Kwanza kwani kama Taifa tunahitaji Mjadala mpana juu ya hili.

Kwanini Wasomi tena Wanazuoni kabisa wa Tanzania wanapenda mno Kutuchanganya Akili zetu kana kwamba Watanzania wengine ni Mambumbumbu tu ni unaweza ukawaja Ujinga au Upumbavu fulani na si tu wakauamini bali wataufuata pia?

Je, Profesa Shivji yupo sahihi na ana Hoja ya Msingi Kwetu tunaojua Uwezo wake mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaaluma na Kiuweledi au pengine anaanza tu Kuzeeka vibaya hivyo tumsamehe na tumuambie atuache na ajikite zaidi katika Kuwalea Wajukuu zake na Vilembwe wake tu?
Uzee ameisha anza poteza kumbukumbu, Kama babu rais mstaafu,
 
Hao wazee wote siku zao si nyingi, wamechoka kupuuzwa na kususia ili wapumzike kiasili.
 
Hii ni kweli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba yeyote iwayo inahitaji pia utashi wa kisiasa kuitekeleza hivyo nakubaliana na Prof Shivji kuwa tunahitaji mjadala mpana zaidi na kujenga utashi wa kisiasa. Hofu yangu ni kuwa kama ushiriki wa mjadala hautakuwa mpana na shirikishi kuna hatari katiba hii mpya ikawa na makengengeza au ikawa vita ya mabepari uchwara "petty bourgousie"wakigombea uongozi na hivyo kusababisha "intra class struggle" na wale wengine kama mimi wakiachwa nje kimaslahi. Tuwe makini sana kufahamu iwapo katiba tunayoitaka ina beba maslahi ya wananchi wote. Tufanye mjadala mpana kutafuta maslahi ya wote"common interests" ili mchakato baadaye uwe shirikishi yakiwemo makundi yote na uzae matunda mema
 
Sasa hivi hakuna hiyo katiba mpya, je ni kipi kinafanya nchi yetu iendelee kuwa masikini Sana?
Nature ya wa Tzn ni viazi, Wazuri wa kulaumu,kulalamika,kukosoa ila hawana suluhisho.

Hii ni shida sana,kwa hiyo Katiba mpya has nothing to do with nature
 
Ili wawe na suluhisho inabidi wafanye?
 
Napata wasiwasi sana na vijana wa sasa!! Hivi Katiba ya warioba ilikuja kuchukuwa maoni kwa kila sehemu, umeshindwa vipi kutoa maoni?

Yani umeshindwa hata kujiuliza kwanini mikataba ya nchi yako ni siri wakati ni mali yako. Then unaongelea katiba wakati ipo wazi tu tunaweza kusema toa hiki weka hiki.
Katiba na sheria za Sasa zinataka mikataba kuwekwa huru na vyombo vya kuiwajibisha vipo sasa sijui wewe unadhani Katiba mpya ndio utaenda mahakamani,itaandamana nk
Ili wawe na suluhisho inabidi wafanye?
Elimu na uchumi kwanza, maskini na demokrasia wapi na wapi ndugu
 
Suala la Katiba mpya sio la kukurupuka, ni suala linalohitaji utulivu mkubwa wa kifikra.

Ukurupukaji ni moja ya sababu zilizokwamisha Katiba
 
Katiba na sheria za Sasa zinataka mikataba kuwekwa huru na vyombo vya kuiwajibisha vipo sasa sijui wewe unadhani Katiba mpya ndio utaenda mahakamani,itaandamana nk

Elimu na uchumi kwanza, maskini na demokrasia wapi na wapi ndugu

Hiyo katiba mpya haikuwepo na Kenya wakapata katiba mpya, mbona uchumi wao ni bora kuliko wetu? Au wakenya wao ni matajiri? Jitahidi kutokuwa bendera fuata upepo kidogo.
 
Kwani yeye ni chama gani na anataka kwenda chama kipi ah si ndivyo wana anza hivyo ili kuondaka au kuhama chama wee umesahau au , natania tu.
 
Suala la Katiba mpya sio la kukurupuka, ni suala linalohitaji utulivu mkubwa wa kifikra.

Ukurupukaji ni moja ya sababu zilizokwamisha Katiba

Ni kweli, huo utulivu utaupimaje ili uweze kupata katiba mpya?
 
Hiyo katiba mpya haikuwepo na Kenya wakapata katiba mpya, mbona uchumi wao ni bora kuliko wetu? Au wakenya wao ni matajiri? Jitahidi kutokuwa bendera fuata upepo kidogo.
Umeanza kuwa bora baada ya Katiba mpya au? Acha upimbi
 
Back
Top Bottom