Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.
CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.
Nakubaliana na wewe kwenye hilo la kuwa Chadema wengi ni vilaza. Ndio maana wakihamia CCM hawapati nafasi za uteuzi kwa sababu CCM kumejaa watu wenye weledi mkubwa.
Amandla...