Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

Unadhani ni Kitu gani kimembadili ghafla Profesa Shivji na sasa hana Uharaka wa Katiba Mpya huku akisema ni Jambo la Kimjadala zaidi?

Kwa vyovyote vile,iwe usiku ama mchana.Jamhuri yetu ya leo,sio ile ya miaka ya 80-95.

Anaumri gani kwa sasa,na elimu yake ameipatia katika mazingira gani.Hatutaki ujima sisi Tanzania ya leo.
Ajiulize tangu amepata huo uprofeseli ni miaka mingapi imepita.
Wazee wakae kimya,maana kwa upande wao wameshindwa kulisaidia Taifa kwenye mambo mhimu.
Siasa ni nzuri kama umeitumia vizuri,pia ni mbaya ukiitumia visivyo.Hatuna taasisi imara tangu na tangu Bali tuna taasisi sujudu kiongozi.
Hitaji LA katiba haliepukiki kwa mkitadha wa sasa.

Nijue tu,ana ndugu zake wangapi serikalini?.
 
Amehongwa na ccm huyo gabachori kafulia mbaya baada ya kustaafu udsm,hata project yake ya kigoda cha mwalimu haina wafadhili siku hizi na imekosa mvuto,kule ndio alikuwa anapata ulaji,chamber yake ya sheria ,shivji and company advocate in kesi saba tu,tumuhurumie huyu mzee njaa haina baunsa
 
Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.

CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.

Aina hii ya mtazamo ndio shida kubwa ya nchi hii. Sitazungumzia hizo shutuma nyingine unazotoa, huenda una taarifa sahihi na kamili kuhusu unayoyasema.

Kwa swala la Katiba, Chadema ni sehemu ya raia wa nchi hii. Wana wajibu kisheria kuzungumzia jambo jambo hili sawa sawa na wale wasiolitaka wanavolizungumzia. Shida yako ni kudhani si swala la Chadema bila kuonesha ni swala la nani - huku hata CCM wanaosema sio muda wake ukiona hawatanufaika na kubaki kwa katiba?

Ni nani ana jukumu hilo basi?? Na njia za kukishughulikia au kutolishughulikia ziko wapi?? Kwa mbwiga kama wewe - huwezi kujua hii point pekee inatosha kuwa sababu ya kuiandika Katiba yetu upya ili njia, sababu za kutaka mabadiliko ya Katiba zijulikane wazi!!
 
Anaenda na mdundo wa ngoma, hakuna jingine......ni sawasawa na tume ya korona. Unasikilizia ngoma inapigwa namna gani na wewe unademka kufuatisha mdundo wa ngoma.....
 
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na wengine baadhi tena Wastaafu kutoka Taasisi Nyeti Tanzania.

Hata hivyo nimeshangaa na hata Kushtushwa baada ya kuona akinukuliwa mahala hasa Magazetini na Mitandaoni sasa akisema kuwa Katiba Mpya isikurupukiwe Kwanza kwani kama Taifa tunahitaji Mjadala mpana juu ya hili.

Kwanini Wasomi tena Wanazuoni kabisa wa Tanzania wanapenda mno Kutuchanganya Akili zetu kana kwamba Watanzania wengine ni Mambumbumbu tu ni unaweza ukawaja Ujinga au Upumbavu fulani na si tu wakauamini bali wataufuata pia?

Je, Profesa Shivji yupo sahihi na ana Hoja ya Msingi Kwetu tunaojua Uwezo wake mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaaluma na Kiuweledi au pengine anaanza tu Kuzeeka vibaya hivyo tumsamehe na tumuambie atuache na ajikite zaidi katika Kuwalea Wajukuu zake na Vilembwe wake tu?
Huyu ni Mhindi hivyo apuuzwe tu,siyo mzawa hivyo hayajui machungu yetu yatokanayo na utawala huu wa mabavu uliosimikwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.

CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.
Hoja muflisi hizi,mnzirudia kila siku. Tumeshawapuuza.
 
Hata mchakato wa katiba ulioisha prof Shivji alisema tusiwe na haraka tuwe na MUAFAKA WA KITAIFA kwanza ndo twende kwenye mchakato wenyewe. Nilifatilila mihadhara yake yoote alisisitiza juu ya MUAFAKA. Tukampuuza lakini mwisho wa siku tukaumbuka
 
Huu msemo wa wananchi wanataka katiba mpya, ni wananchi gani hao??,maana huku mtaani kilio ni hali ya maisha, na hata vijiweni ni nadra kusikia watu wakisema wana shida sana na katiba mpya.
 
Ndugu hili Andiko lako lingekuwa ni Bidhaa iliyoko Dukani kwa Mauzo ningeinunua kwa Gharama yoyote ile na hata kama ingenibidi Kukopa Pesa mahala ningefanya hivyo.

Umesema Ukweli mtupu na Heko sana.

Ile post namba moja ni kama ulikuwa unapima upepo, ila kwa post hii umeonyesha upande halisi uliopo. Ni hivi, katiba mpya ni lazima , hivyo badilisheni mapambio tu lakini habari ndio hiyo.
 
Yes yupo sahihi sana. Shida kubwa KATIBA MPYA imekuwa kama mjadala binafsi wa CHADEMA na utainufaisha katika mikakati yao. Hivyo kukurupukia ni kujiingiza katika njia sio.

CHADEMA kama wanaweza harakati wajaribu kuwatafuta BEN SAANANE, WAPAMBANIE WABUNGE WAO 19 nk. Ila ukiwa makini sana utagundua kuwa CDM wengi ni VILAZA, mwenyekiti anakula pesa kutoka kwa wabunge wale hivyo kazi yake ni kubadilisha topics kila uchao, na wafuasi wake walivyo wapumbavu hawahoji wala nn.
Kwa akili yako unadhani kuna wana CCM watapaza sauti kuomba katiba mpya au mnajitoa akili?
 
Kwa maoni yangu suala la katiba ni la muhimu lakini si la kukurupuka nalo.Kuanzia utawala wa awamu ya tano,kifo cha JPM na kuchukua madaraka kwa mama,kuna maswali mengi ambayo katiba ya sasa haiwezi kujibu lakini sio suala la kiuanaharakati.Kuna mambo mengi ya msingi,asikuambie mtu unaweza ukawa na nguo nzuri lakini ukavaa na usipendeze.
 
Uzoefu aliojifunza kwenye nchi zilizofanya hivyo kama Kenya,South Afrika nk hakuna cha maana kimebadilika.

Pili kuna watu Wana ajenda zao za Siri wanataka kupitia mgongo wa Katiba mpya,wamemsitua Maza..

Eti Katiba mpya ili kuwezesha chadema kuingia ikulu kwa kuungwa mkono na wahuni fulani kutoka ughaibuni,hakuna kitu kama hiyo..Tzn hii bado kufikia stability ya kuhitaji Katiba mpya.

Huko kitaa ukiuliza mtu Katiba mpya ndio takwa lako hana habari sembuse kumwambia faida ya Katiba hajui chochote .
 
Nyie wananchi mnaanza lini? Maana hakuna aliyewazuia mpaka sasa. Au ni mpaka cdm na ccm wawaachie ndio muanze?
Nickname ni tatizo!! Hawa ndio maana Ontario aliwapiga hela ni wajinga sana yani!!

Sisi tuongee kwa mfano watatukumbuka mbeleni
 
Katiba mpya ndio matumaini ya waliowengi,ili kuondokana na miugu watu,ili kujenga haki na usawa kwa wote.
Lakini sio kweli kwamba katiba tulionayo ilikuwa kila kitu kibaya.
Ubaya wa watawala hata tukileta katiba mpya ni wao kujiona miungu watu,wako juu ya sheria.
Kwa mfano katiba imevunjwa au kunajisiwa na yule ambae kaapa kulinda na kutetea katiba hiyo hiyo,na bado akazidi kuinajisi kwa nguvu zote,tena kwa mbwembwe hadi wakatunga sheria ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote pindi wakiondoka madarakani.
Cha kushangaza akishaingia kwenye madaraka anakuwa tofauti na kiapo.
Labda sisi kama taifa hatujitambua,tumeuza utu wetu kwa genge la mafia likiamua kushoto ni kulia na kulia ni kushoto ndio hivyo, na hata likiamua kifo cha haki za binadamu ndio hivyo.
Katiba ijayo tunasisitiza isiingiliwe na genge la mafia,vinginevyo tutavuna mabua.
Walio wengi wakina nani? Katiba mpya itakuletea pesa mezani?
 
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na wengine baadhi tena Wastaafu kutoka Taasisi Nyeti Tanzania.

Hata hivyo nimeshangaa na hata Kushtushwa baada ya kuona akinukuliwa mahala hasa Magazetini na Mitandaoni sasa akisema kuwa Katiba Mpya isikurupukiwe Kwanza kwani kama Taifa tunahitaji Mjadala mpana juu ya hili.

Kwanini Wasomi tena Wanazuoni kabisa wa Tanzania wanapenda mno Kutuchanganya Akili zetu kana kwamba Watanzania wengine ni Mambumbumbu tu ni unaweza ukawaja Ujinga au Upumbavu fulani na si tu wakauamini bali wataufuata pia?

Je, Profesa Shivji yupo sahihi na ana Hoja ya Msingi Kwetu tunaojua Uwezo wake mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaaluma na Kiuweledi au pengine anaanza tu Kuzeeka vibaya hivyo tumsamehe na tumuambie atuache na ajikite zaidi katika Kuwalea Wajukuu zake na Vilembwe wak
Toa source ya taarifa yako au clip.
 
Uzoefu aliojifunza kwenye nchi zilizofanya hivyo kama Kenya,South Afrika nk hakuna cha maana kimebadilika.

Pili kuna watu Wana ajenda zao za Siri wanataka kupitia mgongo wa Katiba mpya,wamemsitua Maza..

Eti Katiba mpya ili kuwezesha chadema kuingia ikulu kwa kuungwa mkono na wahuni fulani kutoka ughaibuni,hakuna kitu kama hiyo..Tzn hii bado kufikia stability ya kuhitaji Katiba mpya.

Huko kitaa ukiuliza mtu Katiba mpya ndio takwa lako hana habari sembuse kumwambia faida ya Katiba hajui chochote .
Napata wasiwasi sana na vijana wa sasa!! Hivi Katiba ya warioba ilikuja kuchukuwa maoni kwa kila sehemu, umeshindwa vipi kutoa maoni?

Yani umeshindwa hata kujiuliza kwanini mikataba ya nchi yako ni siri wakati ni mali yako. Then unaongelea katiba wakati ipo wazi tu tunaweza kusema toa hiki weka hiki.
 
Back
Top Bottom