Unadhani ni kitu gani kitamu kinachozidi sex?

Unadhani ni kitu gani kitamu kinachozidi sex?

Ngada mkuu; ukikutwa chumbani na mke wa mtu unashangiliwa ila ukikutwa na msokoto unapotea mazima. Kila cha gharama ni kitamu. Watu wanaomba kuruhusiwa kuosha "Hammer" ili tu apigie picha. Sex ni nini?
Sex nime wrong kuandika apo,namaanisha sexy kufanya mapenzi
 
Back
Top Bottom