Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Ukila weed ni furaha tupu....full kutabasamu.Life baada ya kula ngada ni tamu asikwambie mtu arifu.Unajikuta unacheka barabarani kwa vitu vidogo.Hakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..