Msimamoo792
Member
- Jan 28, 2017
- 41
- 29
Poa paoHakuna kitu kitamu kama bange,jaribu hiyo kitu halafu upate cha arusha halafu ulete mrejesho hapa
Umewahi kusex?
Kwani ukiandika kwa kiswahili utaitwa kituoni?Sex nime wrong kuandika apo,namaanisha sexy kufanya mapenzi
Ela ni mdudu gani mkuu? Nyie ndiyo mnaoharibu lugha ya kiswahili.
Kwani ukiandika kwa kiswahili utaitwa kituoni?
Acheni ujuaji vijana.
Hajahahahahaha hii comment ya kulalia !! JF kiboko.Hakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
Pulling system pia ni sex au yenyewe inajitegemeaHabari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu
Amefanya nini?Mwanamke