Unadhani ni kitu gani kitamu kinachozidi sex?

Unadhani ni kitu gani kitamu kinachozidi sex?

Tuanzie kwenye "utamu" nini maana yake haswa?
Ni vitu gani vinastaili kuitwa vitamu,au ni katika mazingira gani hili neno linapaswa kutumika?

Ngoja niingie chimbo ntarudi....
 
ushawahi sikia story za peponi basi ukibwia ngada unahama kabisa dunia hiii maghuluaini utawapta ukipiga ngada
 
kilele kile nachofika nikipata meseji BXT98... imethibitishwa umepokea milioni .......kinashinda kile kilele cha kukata uno ili kupunguza stress za kumlipia dem saloon, msosi,gesti,aaaagh yani mastress
 
Back
Top Bottom