Unadhani ni kitu gani kitamu kinachozidi sex?

Hakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

cc. makonda
 
Msije fanya watu wajaribu asee
Kuna track moja ya ras omega inaitwa usiniguse.

Usiniguse me . Don't touch me
Usiniguse me. Don't touch me

(in chuga voice)
:::Ras eeh bongo hamna ajiraaa:
Kwqni unakula ngada ya shingapi
Kwa siku chaliii araaa
:::hamsini mpaka lakiiii:
Temana na ngada chalii araaa

Umekaa kiras nahisi track utakuwa unaijua.
 
Habari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu

Una maana gani kusema 'utamu'? Kwa sababu kibiolojia ni ulimi pekee ndio una-sense utamu, uchungu, na uchachu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…