ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
cc. makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHakuna raha kama uwe umesmoke marijuana halafu uwe unaangalia movie ya comedy. Yaani utacheka mpaka una-pause movie uendelee kucheka kwanza..
mkuu supu ya pweza si ndo naskiaga ina uhusiano na naniliuuu [emoji15] [emoji15] [emoji15]Supu ya pweza
BwahahahahahahhUkila weed ni furaha tupu....full kutabasamu.Life baada ya kula ngada ni tamu asikwambie mtu arifu.Unajikuta unacheka barabarani kwa vitu vidogo.
Kuna track moja ya ras omega inaitwa usiniguse.Msije fanya watu wajaribu asee
Habari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu
Mahindi ya kuchoma.Habari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu
Hahaha me ni dume suruali kwelinenda kasex bila pesa , ndo utajua vina uhusiano au havina , na hilo jina lako dooooo.. ndo mana hili swali likakutoka [emoji15] [emoji15]
√√kila mtu na starehe yake
Haha tamu sana mkuumkuu supu ya pweza si ndo naskiaga ina uhusiano na naniliuuu [emoji15] [emoji15] [emoji15]
kwani hii nayo wakina dada wanatumiaga kwelii [emoji38] [emoji38] [emoji38]Haha tamu sana mkuu
Habari wana jf,leo katika pita pita mtaani nikakuta vijana wanabishana kuwa hakuna kitu kitamu duniani zaid ya sexy.je ni kweli naombeni majibu yenu
Furaha
Wow hiyo ni rahaaa sanaaa,ata mtoto mchanga analijua hiloKunya, hasa ukiwa choo cha home huku ukiendelea kuchat. Angalizo:choo kiwe cha kukaa